Wapeni zanzibar yao, ni kisiwa karibu kitazama

Mwitongo

JF-Expert Member
Jan 30, 2009
312
360
Ndugu zangu Wabara, wala msihangaike kupambana na Wazanzibari! Hakuna nchi itakayoitwa Zanzibar miaka michache ijayo kutokana na tabia mabadiliko ya tabia nchi. Kisiwa hiki ni miongoni mwa vilivyo katika orodha ya kuzama! Waacheni wajitenge. Wakiomba kurejea kwenye Muungano itakuwa tuuu leiti!!!!!
 
kweli bila shaka yoyote.
 
Nashangaa sirikali ya bara inavyowanga'ang'ania,mtoto akilia wembe mwache ukija mkata atajua!
 
Mkuu,hoja yako sidhani kama ina nguvu!!!!!!
Kwa hiyo kama znz itazama baada ya mamia ya miaka{kumbuka pia kuna uncertainity kwenye scientific reports} unadhani
watashindwa kuomba ukimbizi kwenye nchi nyingine jirani hata kama muungano utakuwa umevunjika?
Mimi nadhani dawa ni kujadili kama bado kuna haja ya kuendelea kuwepo huu muungano ili kama hatuuhitaji tuachane kwa amani tu;tukiishi kama nchi majirani wema;kukashifiana hakutufikishi popote!!!
 
Ndugu zangu Wabara, wala msihangaike kupambana na Wazanzibari! Hakuna nchi itakayoitwa Zanzibar miaka michache ijayo kutokana na tabia mabadiliko ya tabia nchi. Kisiwa hiki ni miongoni mwa vilivyo katika orodha ya kuzama! Waacheni wajitenge. Wakiomba kurejea kwenye Muungano itakuwa tuuu leiti!!!!!
Hapana, hawa kukiwaachia aka kanchi watauwana wenyewe kwa wenyewe na patageuzwa maficho ya magaidi.
So dawa yao ni kuwatawala kinguvu tu kama China inavyofanywa kwa Taiwan
 
Mara wanajiita serikali sikivu, kilio cha wazaenji hawajakisikia?
 
Hapana, hawa kukiwaachia aka kanchi watauwana wenyewe kwa wenyewe na patageuzwa maficho ya magaidi.
So dawa yao ni kuwatawala kinguvu tu kama China inavyofanywa kwa Taiwan

Nakubaliana na wewe, hawa jamaa ni kuwakalia kwa mtutu tu. Tena huyo kiongozi wao kazi ya kwanza ni kumwondolea hizo ndevu ili akose wafuasi.
 
Ndugu zangu Wabara, wala msihangaike kupambana na Wazanzibari! Hakuna nchi itakayoitwa Zanzibar miaka michache ijayo kutokana na tabia mabadiliko ya tabia nchi. Kisiwa hiki ni miongoni mwa vilivyo katika orodha ya kuzama! Waacheni wajitenge. Wakiomba kurejea kwenye Muungano itakuwa tuuu leiti!!!!!

Na hiyo ndo adhabu watakayopewa na Mungu kwa kuchoma makanisa na kuwanyanyasa wazazi wao watanganyika... maanina zao!
 
Iwapo wazanzibari hawautaki muungano mbona dawa ni ndogo tu!!! Hivi ndio kusema Wanzanzibari hawana habari kwamba kati ya vyama vyote vya siasa ni Chadema tu ndio walio na sera za kutaka wazanzibari wenyewe wajadili aina ya muungano wanaoutaka?? Hivi hawa ndugu zetu waislamu wanaliona hilo? Mbona hata punguani anajua muungano ni wa ccm na cuf kwa maslahi ya wachache? Kazi ndogo sana hapo!! Vurugu za nini? Ipeni kura Chadema kupambazuke!!
 
Back
Top Bottom