Leo m4c (cdm) iko wapi mbona kimya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Leo m4c (cdm) iko wapi mbona kimya?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Fredrick Sanga, May 29, 2012.

 1. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #1
  May 29, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Leo naona makamanda wako busy na Zanzibari, wamesahau kabisa M4C. Leo mkutano uko wapi, au kuna shughuli gani inaendelea. Je Shibuda ameshaomba radhi kwa Heche.
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  May 29, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,322
  Likes Received: 19,495
  Trophy Points: 280
  hii kitu mbaya sana
  1.1283991039.the-tasty-kilimanjaro-lager.jpg
   
 3. h

  hans79 JF-Expert Member

  #3
  May 29, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  So what?
   
 4. Y

  Yetuwote Senior Member

  #4
  May 29, 2012
  Joined: Jul 22, 2010
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wako mtwara vijijini, wamejigawa katika vikundi ili ku-cover Kata zote za mtwara vijijini. Samahani, wako buzy na ufunguzi wa matawi, na kuwakomboa wananchi kifikra kwanza ili wao wenyewe wachukue hatua.
   
 5. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #5
  May 29, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Nashukuru kwa taarifa, sasa hebu tuwekee update za picha na matukio halisi. Nafikiri kuna wanaJF huko.
   
 6. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #6
  May 29, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Nashukuru kwa ushauri, hii ni nomaaaa.
   
 7. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #7
  May 29, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  May be this is non of your business, stay away.
   
Loading...