Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna taarifa kwama wakazi wa salasala wamevamia shamba la mwekekezaji na kuharibu mali! source itv
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Uzalendo wa kweli ni kusema ukweli regardless: Imekuwa kawaida sasa watu kupindisha mambo ili ku-favor upande wao (vyama vyao)... Tunaomba uzalendo wasiasa please, msitupeleke kusikotakiwa kwa...
0 Reactions
2 Replies
949 Views
Wakuu heshima mbele. Nimesikitika kuona hii picha ya simba wa Mikumi akiteseka na hii ni siku chache tu tangu waziri wa maliasili awasimamishe viongozi wa Serengeti national park. Kuna uzembe wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
ND. NAPE tukiachia mbali ushabiki wa kisiasa ambao mtu humvutia na kumjaza masifa kiongozi wa chama chake. mimi si mfuasi wa chama chako bwana NAPE ila nimeku anikikufuatilia harakati zako tofauti...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
haya ni maoni nimeyachomoa kwenye baadhi ya post za Mkandara huyu jamaa nakubali sana michango yake hanaga mambo ya kuremba na huu mchango nimeupenda ..samahani sana Mkandara kwa kuchukua bandiko...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Kwa muda wote makamba jr amekuwa akibainisha kuwa anaujua ukristu na Uislam ,pengine anaamini anazijua na dini zingine.Na hata ktk uzinduzi wa ktabu kagusia pia kuwa kuna maudhui ya dini .Maswali...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wafanyakazi wa toyota branch la tanzania wamegoma, moja ya sababu ni mshahara mdogo sana waolipwa wafanyakazi wakitanzania. Huku wafanyakazi kutoka india na other experts, walikilipwa ma milion ya...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Katika kufatilia hali halisi ya mchakato wa kupata katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, nimeona nami nitoe maangalizo na maoni yangu binafsi. Zanzibari imeshatunga katiba yake mpya. Je...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
THE ASSOCIATION FOR ISLAMIC MOBILISATION AND PROPAGATION P. O. BOX: 1266 -Tel: +255-777-419473 / 434145- FAX +255-024-2250022 E-Mail: jumiki@hotmail.com MKUNAZINI ZANZIBAR Tarehe 27MAY2012...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwenu wadau
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Alijitokeza kama mpambanaji asiyeshindwa. alivalia njuga 'vua gamba' ya ndani ya chama chake. amekuwa msemaji sana hata mzee makamba akamlaumu kuwa anakifanya ccm kama kampuni yake. havi karibuni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jamani kuuliza sio vibaya,nimepita hii mitaa ya bank kuu ya tanzania(BOT)nikielekea ocean road,nimekuta njia imefungwa kuna polisi kama 30!wenye siraha,huku kuna malori kama 6 yenye makontena...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Tofauti kati ya Nape na Hizza kisiasa ni kwamba Hizza alitoka CUF kwa mbwembwe na kuanza kuvishambulia vyama vya upinzani na kujumlishwa kwenye kitengo cha propaganda pale Lumumba wakati Nape...
0 Reactions
0 Replies
960 Views
Wadau mnaohitaji kazi hizo zimemwagwa na serikali yenu sikivu.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakubwa naomba kujulishwa juu ya mambo ambayo Zanzibar inadhulumiwa na Tanganyika katika Muungano, kama yapo tafadhali.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Baada ya wabunge kuingilia kati kashfa ya mama kujifungua akiwa amesimama katika hospitali ya Amana jijini Dar es Salaam, Serikali imetangaza kuchukua hatua kali kwa watu waliohusika na uzembe...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Nasema hivi kwa haya yanayotokea huko visiwani zanzibar,,,,kwanza serikali imalize suala la muungano,,,,,maana wenzetu wamechachamaa na madai yao,,,endapo tutaendelea na zoez basi kuna uwezekano...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
  • Closed
Pengo amekuwa sidelined baada ya kuonekana kuwa bado anasubiri draft ya tamko kutoka kwa bosi wake Vatican. Sasa Maaskofu wengine wameamua kuachana naye na wamedemand kuonana na sheni ili wamsomee...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakubwa! Hamkani si shwari! Ushauri nautoa kwako Mh sana JK! Kwa MAMLAKA ULIYONAYO AMUA hili leo kwa ajili ya utulivu wa nchi yetu; 1 TANGAZA HALI YA HATARI ZENJ au VUNJA MUUNGANO! Zaidi ya...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wednesday, 30 May 2012 09:08 0digg Na Mwandishi Wetu BAADA ya Mahakama ya Rufani ya Tanzania kutoa hukumu yake ya Juni 16, 2010, kuhusu suala la mgombea binafsi na hatimaye kufuta...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…