Sangarara
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 13,100
- 5,649
Nina wasiwasi kwamba kwa hii tabia iliyoanza ziku za karibuni za makundi kwa makundi ya wananchama wa CCM kukimbilia CHADEMA kama Tendwa atasema anafanya review kuangalia kama vyama vilivyosajiliwa bado vinacomply na requirement ya kuwa na idadi stahiki ya wanachama bara na visiwani, atajikuta anaking'anya hiki chama Cheti cha usajiri kwa sababu ya kutokukidhi idadi ya wanachama wanaohitajika.