hakuna muungano hakuna cuf bara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hakuna muungano hakuna cuf bara

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Raia Fulani, Nov 23, 2011.

 1. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #1
  Nov 23, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  sijui kama mmeshawahi kuulitazama hili wadau. Visiwa (tena pemba) vinaibeba cuf huku kwetu. Nawashangaa jinsi wanavyopiga kelele hapo dodoma. Wajue uhalali wao huku kwetu umeshikiliwa na uzi wa buibui. Cuf waiache cdm iongee na iwe na kauli rasmi ya kipinzani kwani wao hawana hizo nguvu na mamlaka. Habari ndio hii, cuf
   
 2. JOASH MUSSA

  JOASH MUSSA JF-Expert Member

  #2
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 504
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Na ndio maana hata Lipumba ankosa la kufanya, namshauri aingie cdm
   
 3. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #3
  Nov 23, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo Chadema ni chama cha Wachagga?
   
 4. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #4
  Nov 23, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  ni kweli. Hana cha maana anachoweza kufanya kwa sasa kinachohusiana na chama
   
 5. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #5
  May 29, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  hiyo ninini umeandika lugha gani hiyo?
   
 6. mgashi

  mgashi JF-Expert Member

  #6
  May 29, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 304
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Cdm ni chama cha wtanganyika na cuf ni cha wapemba.
   
 7. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #7
  May 31, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  Bahati mbaya hata hii Tanganyika hatunayo! Prof Shvji katuthibitishia hilo leo. Kuna Zanzibar na Muungano tu!
   
Loading...