Muungano wa tanganyika na zanzibar una mahusiano gani na ukristo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Muungano wa tanganyika na zanzibar una mahusiano gani na ukristo?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Makala Jr, May 31, 2012.

 1. Makala Jr

  Makala Jr JF-Expert Member

  #1
  May 31, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 3,397
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Wiki hii imekuwa ni wiki yenye maajabu ambayo sikuwahi kuyafikifiria.Vurugu zilizotokea zanzibar kwa kuchagizwa na kundi la kiislamu liitwalo Jumuiya ya uamsho ni matokeo ya nini? Mara kadhaa kundi hilo limekaririwa na vyombo kadhaa vya habari kuwa kundi hilo linaupinga muungano kwani hauna maslahi kwa zanzibar.Ndugu wana jf naomba ufafanuzi wa kina:mahusiano ya muungano wetu na ukristo.Kama jumuiya ya uamsho wanapinga muungano then,kwa nini makanisa yachomwe? Je,baraza la kuu la waislamu wanalitambua kundi hilo kama jumuiya halali ya kiislamu? Wana jf naomba mwenye habari kamili aelezee endapo jumuiya ya uamsho haina mwonekano kama ule wa Boko haramu,Al-shabab n.k Karibuni tujadili kwa ajili ya hatma ya Tanzania tunayoipenda.
   
 2. t

  tpmazembe JF-Expert Member

  #2
  May 31, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 2,474
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  kwa kifupi hawa ndugu zetu waislam hawapendi amani,sio tanzania tu hata kenya inataka kujitenga tatizo waislam mombasa,somalia nao tatizo waislam,sudani nako tatizo waislam.mali nako machafuko tatizo waislam,na nigeria nako machafuko tatizo waislam na huko walianza kama walivyoanza Tanzania kuchoma makanisa.HAWA WENZETU WAISLAM SIJUI KUNA TATIZO GANI,mbona uingereza hatusikii haya au marekani?yaani hata nchi ambazo hazina muungano bado utasikia vikundi vya kiislam vinaleta fujo
   
 3. n

  nisaha Member

  #3
  May 31, 2012
  Joined: May 29, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  SOMA KWANZA HII ALAFU UTANAMBIA:
  Kwani zanzibar inajulikana sana historia yakelakini tanganyika ilifanya mapinduzi zanzibar kushirikiana na muengereza.

  nakuwaua wazanzibar wengi sana ambao ni waislam na kubadilisha historia ya zanzibar.

  pamojana kuwabatiza wazanzibar wote watumwa kwa lazima au mtu atakatwa kichwa kamavile alivyofanyiwa kunta kinte kuitwa toby.

  jeshila tanganyika lilishirikiana na watumwa na baadhi tu ya wanafiki wa ungujakuwaua waislam

  watanganyikawengi walijipenyeza zanzibar baada ya uhuru kwa kushirikiana na muengereza ilikufanya mauaji ya kinyama zanzibar.

  na piakuna kumbukumbu nyingi tu za watumwa zanzibar watu ambao waliokuwa wakifanyabiashara za utumwa zanzibar walikuwa waengereza.

  wakifishawatu kutoka bara kwenye makanisa ambayo chini kuna mahandaki na hata kufungiwangome kongwe.

  nafikiriazanzibar ilikuwa ikisifika kwa idadi kubwa ya waislam hata kafiri kutoka baraakiingia tu zanzibar hujisilimisha mwenyewe na kujiita jina la asuman au lajabukwa wanaume na wanawake maliam haya ndio majina yao makubwa.

  kukaletwahistoria mbovu ambayo hata karume alitorokea utumwa akalelewa na wazanzibar piailiandikwa historia kuwa amezaliwa mwera na mtu kulazimishwa kuikubali kwanguvu hadithi hiyo hata wanafunzi mashuleni.

  zanzibarkukawa kuna afro shirazi ambayo ilichanganyika na wabara ambao ndiowaliopelekwa kule kuua.
  maendeleoya zanzibar yalipozidi kukua watanganyika wakakasirikiana na kibaraka waoambaye karume kwani alizidi upande wa wazanzibar na kuwazarau watanganyikaambao ndio walioua ambao ndio waliofanya mapinduzi.

  siriya kifo cha karume kinajulikana lakini kimefichwa na aliyemuua ni rafiki yakeambaye ndie aliyemueka baada ya kutokubalia na upande wa wabara,

  wakamuuahapo ndio walipomuweka jumbe ambaye naye alikuja kuua zanzibar na yeye hanafamili zanzibar na kutupwa nje wazanzibar na kuwafukuza wazanzibar wa upande wakarume na kuwasingizia kuwa wamemuua karume

  wenginewakauliwa , wengine walikimbia, na salim a. salim pia walimsingizia,

  ukweliwaliomuua ni jeshi la kutoka bara ambao waliingia na land rova mbili.

  na piamwanawe ali karume alitoroshwa zanzibar baada ya kuua na kesi yake mpaka leoipo lakini hakuna hata mmoja anayeweza kuizungumzia.

  nabaada ya amani karume baadhi ya wazanzibar walimpiga madogo ambao ni ccmakiwemo dr.salmini na time yake na pia kumwita mamluki baba ake kauza nchinayeye anapewa nchi akaimalize.

  nakweli ameimaliza amani karume kwani amejaza ukafiri amejaza wabara kisiwakidogo wenye nchi hawana raha lakini wabara wana raha.

  nawalipoulizwa wazanzibar kuhusu muungano waliukataa,
  lainikarume alisema waulizwe wazanzibar wenyewe ambao ni watanganyika waliofanyamapinduzi

  kamawanavyosema mapinduzi daima ndio kila uchaguzi ukija zanzibar mapinduzihupelekwa pilisi na jeshi kutoka bara na kupiga wazanzibar ovyo na kuua.

  nahakuna nchi za ulaya hata moja inayopiga kelele kwani inajua fika zanzibar ninchi ya uislam zinafanya hivyo ili kuiharibu na kuwa nchi ya kikafiri kamailivyo sasa ni nchi ya makafiri kama karume alivyifanya,

  nyererealisema eti wananchi wake ni waislam lakini nchi si ya kiislam ni jambo lakushangaza sana sana kwani wewe mwenye nchi ukiwa muislam na nchi yako itakuwavipi?
  ndioamani karume akasema wenye zanzibar ni watanganyika waulizwe watanganyikawakati yeye mwenyewe asili yake sio mzanzibar.

  lakinitatizo kubwa la wazanzibar ni unafiki hasa wa kisiwa cha unguja na baadhi yawapemba wachache

  siokama hawayajui haya lakini ni sawa na mfanya biashara ya uasharati akiwa nanjaa yeye anatoa tu.

  hakunauislam, kwani hata hao waislam wamekuwa makafiri uislam wao jina tu.

  aonaajabu sana amani karume wakati alipokuwa waziri msikiti kwake ulikuwa mwikolakini alipokuwa rais kila ijumaa msikiti hata waislam wengi wamekuwa wanafikindio wanaorudisha nyuma

  majeshiyaliopindua zanzibar ndio mpaka leo yanayofanya mapinduzi. nyiewenyewe mutaona na hawa majeshi waliokuwa wakiua walitoka wapi?

  nabaadhi ya watu waliokimbilia tanganyika eti kukimbilia usalama wao wakauliwakule pia?

  nabaadhi ya watu waliokamatwa zanzibar walipelekwa tanganyika kuuliwa. hakuna mtuasiyejua hili na mali za zanzibar zilipelekwa tanganyika kama vile usailipompiga muiraq wakaiba mali na kupeleka marekani ndio wabara walivyofanyazanzibar

  amanikarume ametujazia watanganyika ili waje watuue na hili ni kosa la akina salminikwani walilijua fika kwani waliyasema hadharani baada ya kuona muda waounamaliza wa uongozi
   
 4. Synthesizer

  Synthesizer JF-Expert Member

  #4
  May 31, 2012
  Joined: Feb 15, 2010
  Messages: 4,313
  Likes Received: 3,080
  Trophy Points: 280
  Mie hapa naona kuna tatizo la kidini na kisiasa. Ukweli ni wazi kwamba dini ya kiislamu iko sana katika mfumo wa "violent confrontation" katika vitu vinavyoonwa kuwa ni anti-uislamu, na hulea waumini wake kwa namna hiyo - kata mikono ya mwizi, mzinzi auwawe kwa mawe nk. Ukristo ulikuwa hivi kipindi fulani, lakini mambo yakabadilika. Matokeo ya ulezi huu wa kidini wa kiislamu ni kuwa na jamii ya hatari sana, hasa ikiwa jamii hiyo ni ya vijana walio wakereketwa wa dini na wasio na elimu "dunia" ya kutosha. Elimu dunia mara nyingi ndio chanzo kinachomfanya muislamu mkereketwa aweze ku-dilute u-fundamentalism na kuwa na uwezo wa kupapambua pumba toka mbengu kwa jambo lolote linaloletwa kwake katika jina la uislamu. Muislamu mwenye elimu dunia ya kutosha huwezi ukamshawishi kwamba achome kanisa au kuua Mmarekani kwa kuwa akiuwawa katika hayo mapambano ya kijihad atakwenda moja kwa moja mbinguni na kuthawabishwa kwa wasichana bikira. Atakuona unamwambia kitu ambacho ni pumba tupu. Sasa Zanzibar imejaa vijana wengi wasio na elimu dunia ya kutosha na ambao wamelelewa katika misingi ya kiislamu, ambayo inasimamia "violent confrontation" dhidi ya kile kinachoonwa ni anti - uislamu. In fact, wao wanauona muungano katika angle ya kuwa anti -uislamu, mara nyingi wakihusianisha Tanzania bara na ukristo, unaoruhusu baa, nguo fupi nk.

  Amini usiamini, kuna waislamu Zanzibar wanaona Muungano unawapunguzia uwezekano wa kupata thawabu mbinguni, kwa kuwa bila muungano wangeweza hata kuiweka Zanzibar chi ya utawala wa "Sharia". Haiwezekani kabisa Zaznibar kuwa na "Sharia" ikiwa sehemu ya Tanzania. Hili wanalijua.

  Upande wa kisiasa Zanzibar ni kwamba viongozi walio madarakani, CCM, wanaelewa wanakabiliana na CUF ambacho ni chama cha kisiasa lakini kimeundwa kwa misingi ya kiislamu. Wakikikemea uchomaji makanisa na vurugu nyingine, wataonekana ni anti-waislamu na hata kusababisha vijana zaidi kuiacha CCM na kujiunga na CUF, ambako wanaona maslahi yao ya kiislamu yanasimamiwa vema kuliko CCM ambacho kinaonekana kama chanma cha wakristo - chama cha makafiri. Kumbuka kwamba hata Dr. Omar Juma alishutumiwa kuwa kafiri kwa kuwa alizama sana katika misingi ya CCM isiyoangalia mambo kidini. Hivyo viongozi wa CCM Zanzibar wanaamua kutokeamea na kutochukua hatua yeyote mambo haya yanapotokea.

  Sasa hii hali inahitaji busara sana kuikabili. Kuifumbia macho kwa kudhani itafika mahali itapotea na upepo ni kulea tatizo kubwa sana la fundamentalism hapo baadaye. Msije shangaa wakati fulani tukaona athari za kuisalama upande wa bara kwa kuwa tu hili tatizo halikuchukuliwa hatua zilizostahili wakati muafaka.

  Kama viongozi wa Muungano na wale wa Zanzibar wanashindwa kulikabiri hili tatizo, basi ni bora sana, kwa sababu za kiusalama wa bara, kuvunja muungano.
   
 5. Maarko

  Maarko JF-Expert Member

  #5
  May 31, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,030
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160


  acha umbeya!!! chunga ulimi wako.
   
 6. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #6
  May 31, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Makanisa yasingekuwepo Zanzibar kama si 'muungano'! Muungano ukifa, makanisa yatakufa Zanzibar! Hii ni ngumu kwenu kuelewa?
   
 7. n

  nisaha Member

  #7
  May 31, 2012
  Joined: May 29, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  NASISISTIZA, SOMA KWANZA HII ALAFU UTATAMBUA KUWA;
  Faida ya muungano zanzibar ni ukafiri,Ndio maana makanisa yanachomwa:

  Kwani zanzibar inajulikana sana historia yake, lakini Tanganyika ilifanyamapinduzi zanzibar kushirikiana na muengereza na kuwaua wazanzibar wengi sana ambao ni Waislam nakubadilisha historia ya zanzibar, pamoja na kuwabatiza wazanzibar wote watumwakwa lazima au mtu atakatwa kichwa kama vile alivyofanyiwa kunta kinte kuitwatoby.

  Jeshi la Tanganyika lilishirikiana na watumwana baadhi tu ya wanafiki wa unguja kuwaua Waislam.

  Watanganyika wengi walijipenyeza zanzibarbaada ya uhuru kwa kushirikiana na muengereza ili kufanya mauaji ya kinyamazanzibar. Pia kuna kumbukumbu nyingi tu za watumwa zanzibar watu ambao waliokuwawakifanya biashara za utumwa zanzibar walikuwa waengereza, wakifisha watukutoka bara kwenye makanisa ambayo chini kuna mahandaki na hata kufungiwa ngomekongwe.

  Ni dhahiri zanzibar ilikuwa ikisifika kwaidadi kubwa ya waislam hata kafiri kutoka bara akiingia tu zanzibarhujisilimisha mwenyewe na kujiita jina la Asuman au Rajabu kwa wanaume nawanawake Maliam haya ndio majina yao makubwa. Kukaletwa historia mbovu ambayohata Karume alitorokea utumwa akalelewa na wazanzibar pia iliandikwa historiakuwa amezaliwa Mwera na mtu kulazimishwa kuikubali kwa nguvu hadithi hiyo hatawanafunzi mashuleni.

  Zanzibar kukawa kuna afro shirazi ambayoilichanganyika na wabara ambao ndio waliopelekwa kule kuua. Maendeleo yazanzibar yalipozidi kukua watanganyika wakakasirikiana na kibaraka wao ambaye Karumekwani alizidi upande wa wazanzibar na kuwazarau watanganyika ambao ndio waliouana ambao ndio waliofanya mapinduzi.

  Siri ya kifo cha Karume kinajulikana lakinikimefichwa na aliyemuua ni rafiki yake ambaye ndie aliyemueka baada yakutokubalia na upande wa wabara, wakamuua hapo ndio walipomuweka Jumbe ambaye naye alikujakuua Zanzibar na yeye hana famili zanzibar na kutupwa nje wazanzibar na kuwafukuzawazanzibar wa upande wa Karume na kuwasingizia kuwa wamemuua Karume. Wenginewakauliwa , wengine walikimbia, na Salim A. Salim pia walimsingizia,

  Ukweli waliomuua ni jeshi la kutoka baraambao waliingia na land rova mbili, na pia mwanawe Ali Karume alitoroshwazanzibar baada ya kuua na kesi yake mpaka leo ipo lakini hakuna hata mmojaanayeweza kuizungumzia.

  Baada ya Amani karume baadhi ya wazanzibarwalimpiga madongo ambao ni ccm akiwemo Dr. Salmini na timu yake na pia kumwitamamluki baba ake kauza nchi nayeye anapewa nchi akaimalize. Kweli ameimalizaAmani Karume kwani amejaza ukafiri amejaza wabara kisiwa kidogo wenye nchihawana raha lakini wabara wana raha.

  Walipoulizwa wazanzibar kuhusu muunganowaliukataa, lakinikarume alisema waulizwe wazanzibar wenyewe ambao ni watanganyika waliofanyamapinduzi, kamawanavyosema mapinduzi daima
  ndio kilauchaguzi ukija zanzibar hupelekwa pilisi na jeshi kutoka bara na kupigawazanzibar ovyo na kuua.

  Hakuna nchi za ulaya hata moja inayopigakelele kwani inajua fika zanzibar ni nchi ya uislam zinafanya hivyo ilikuiharibu na kuwa nchi ya kikafiri kama ilivyo sasa ni nchi ya makafiri kama Karumealivyoifanya,

  Nyerere alisema eti wananchi wake niwaislam lakini nchi si ya kiislam ni jambo la kushangaza sana kwani wewe mwenyenchi ukiwa muislam na nchi yako itakuwa vipi? ndio Amani Karume akasema wenyezanzibar ni watanganyika waulizwe watanganyika wakati yeye mwenyewe asili yakesio mzanzibar.

  Lakini tatizo kubwa la wazanzibar niunafiki hasa wa kisiwa cha unguja na baadhi ya wapemba wachache, sio kama hawayajuihaya lakini ni sawa na mfanya biashara ya uasharati akiwa na njaa yeye anatoatu.


  Majeshi yaliopindua zanzibar ndio mpaka leo yanayofanyamapinduzi. nyie wenyewe mutaona na hawa majeshi waliokuwa wakiua walitoka wapi?baadhi ya watu waliokimbilia tanganyika eti kukimbilia usalama wao wakauliwakule pia? na baadhi ya watu waliokamatwazanzibar walipelekwa tanganyika kuuliwa.
  Hakuna mtu asiyejuahili na mali za zanzibar zilipelekwa tanganyika kama vile USA ilipompiga muiraqwakaiba mali na kupeleka marekani ndio wabara walivyofanya zanzibar

  Amani Karume ametujazia watanganyika ili waje watuue nahili ni kosa la akina Salmini kwani walilijua fika kwani waliyasema hadharanibaada ya kuona muda wao unamaliza wa uongozi
  Lakushangaza walipokuwaviongozi walishindwa kuitetea zanzibar, ni unafiki tu. Faida ya muungano ni kwatanganyika tu zanzibar haina fungu labda polisi na jeshi.

  Faida yamuungano zanzibar ni ukafiri, Ndio maana makanisayanachomwa.
   
 8. M

  MAKAH JF-Expert Member

  #8
  May 31, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 1,598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  nimeu like uchambuzi wako LAKINI hapo kwenye red sina uhakika kama bara ndo itakuwa salama sana muungano ukivunjika. Gharama ya usalama inaweza kuwa kubwa sana na zaidi kuliko bara ikiwa ndani ya muungano - na hii ni true hata kwa wazenji pia.wataalam wazamie katika kupata kiini cha kweli cha tatizo hili. Naamini bado kuna watu nje waliokimbia baada ya mapinduzi bado wanandoto ya kurudi zenji wakipitia wapwa waliowaacha. Zanzibar bado inaweza kuwa nchi ya kiislamu ndani ya muungano marekani tunaambiwa kosa katika state fulani sio kosa state ingine. muungano bado ni wa maana kwa pande zote hizi. watu wenyewe ni hao hao - kina Mwinyi toka kisarawe, kina Moyo toka songea, kina Karume to uyao Malawi nk
   
 9. Synthesizer

  Synthesizer JF-Expert Member

  #9
  May 31, 2012
  Joined: Feb 15, 2010
  Messages: 4,313
  Likes Received: 3,080
  Trophy Points: 280
  Mkuu Makah, labda hujanielewa ninaposema kwamba bara inaweza kuathirika sana kiusalama. Fikiria hapa tuna-deal na watu ambao wanachoma makanisa ili kuwasilisha ujumbe wao. Inahitaji kitu kidogo sana kutokea mtu mmoja au kikundi fulani cha watu au kigaidi kuwawezesha watu wa namna hii na ku-graduate kutoka kuchaoma makanisa huko Zanzibar hadi kufikia kufanya milipuko huku bara kama njia ya kuonyesha frustration zao. Hili ni suala zito sana kuisalama, na nina wasiwasi sana kwa jinsi viongozi wetu wanalilea namna hii.
   
Loading...