Wakuu wa wilaya waache siasa za vyama katika ofisi za serekali na utendahi wao wa kazi ya serekali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakuu wa wilaya waache siasa za vyama katika ofisi za serekali na utendahi wao wa kazi ya serekali

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Alagwa, May 31, 2012.

 1. Alagwa

  Alagwa Member

  #1
  May 31, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 59
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Inasikitisha kufika katika ofisi ya serekali kama ofisi ya mkuu wa wilaya walafu unakuta katiba za chama flani cha siasa mezani badala ya katiba ya jamuhuri ya muungano na huduma katika ofisi hizi zinatolewa kwa misingi ya wewe ni chama gani cha siasa na sio misingi ya kuwa wewe ni mtanzania sasa wakuu wa wilaya wanatupeleka wapiPaul Alagwa
   
Loading...