NASSARI aka 'DOGO JANJA' VIPI TENA?

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Lini utatimiza ahadi yako ya kumuoa Mheshimiwa mwenzako Halima Mdee? Au umempata mwingine? Funguka...
 
Mbona Halima alishafunga huo mjadala kitambo? Au ulikua jela mwenzetu? Tiririkaaaaaaa!
 
Mkuu,hii ilikuwa moja ya ahadi za Nassari alizozitoa siasani.Ni suala la kisiasa...

VUTA-NKUVUTE hakuna ahadi aliyotoa Nassari kuwa ni lazima amuoe mbunge Halima Mdee. Namnukuu Nassari "Wanasema sina mke, nikiamua naweza kumuoa Mdee ili jimbo la Arumeru liwe na wabunge wawili" Hicho kilikuwa ni kibwagizo tu lakini siyo ahadi wala lazima mkuu/
 
Mkuu,hii ilikuwa moja ya ahadi za Nassari alizozitoa siasani.Ni suala la kisiasa...

umekosea kidogo kwani swala la kuwa single ni la kisiasa hilo ni la kimapenzi zaidi, kwani uchumba mwisho mda gani?au kwako wewe mtu akioa ndio furaha?ungezungumzia maendeleo ya jamii ningekupa 5
 
Umekosea kidogo kwani swala la kuwa single ni la kisiasa hilo ni la kimapenzi zaidi, kwani uchumba mwisho mda gani?au kwako wewe mtu akioa ndio furaha?ungezungumzia maendeleo ya jamii ningekupa 5
 
Mkuu unanikosea adabu.Unavuka mipaka.Mimi ni mwanaume rijali.Changia mada kwa busara na ustaarabu.Chunga sana kinywa chako...
Wanaume hatufatilii hoja za nani kamuoa fulani nani ame ahidi kumuoa furani...Arumeru kuna matatizo ya msingi na siyo Nassari kumuoa Halima.....Mbona hujauliza Annna Makinda kaolewa au bado ana bangaiza....
Tujadili mambo ya msingi Tanzania tuna matatizo mengi sana na siyo huu upuuzi.
 
Back
Top Bottom