Msanii wa filamu Elizabeth Michael lulu ni Muislam? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msanii wa filamu Elizabeth Michael lulu ni Muislam?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by thatha, May 30, 2012.

 1. t

  thatha JF-Expert Member

  #1
  May 30, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Naona siku hizi nguo anazofaa zinafanana kabisa na wanawake wa dini ya kiislam.
  kwani naona anavaa kiheshima zaidi
   
 2. s

  sverige JF-Expert Member

  #2
  May 30, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 361
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  katafute kazi yakufanya wacha ummbea
   
 3. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #3
  May 30, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,605
  Trophy Points: 280
  JF for Great Thinkers!Tafakari!
   
 4. M

  Maamuma JF-Expert Member

  #4
  May 30, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 856
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Usichanganye dini na utamaduni.
   
 5. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #5
  May 30, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Hata angekuwa Muislam naningekuza  tu!
   
 6. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #6
  May 30, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,348
  Likes Received: 6,697
  Trophy Points: 280
  ushasema kwenye heading yako,msanii!!!msanii anaweza kuvaa uhusika usio wake pia!
   
 7. ARV

  ARV JF-Expert Member

  #7
  May 30, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 304
  Trophy Points: 180
  Ni kawaida wanawake wanapokuwa katika hali ya huzuni kuvaa hivyo, sasa kama kuna watu wanavaa hivyo wanapoenda kwenye ibada hiyo ni issue nyingine.
   
 8. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #8
  May 30, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,104
  Likes Received: 7,352
  Trophy Points: 280
  Binadamu anapokua na matatizo humrudia MUNGU WA KWELI ili amsaidie.

  Ndo maana yake!!!
   
 9. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #9
  May 30, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,497
  Likes Received: 1,065
  Trophy Points: 280
  Kila vazi la kiarabu ni la kiislamu? Angalia dini isikufanye mtumwa wa tamaduni za watu.
   
 10. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #10
  May 30, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,084
  Likes Received: 6,548
  Trophy Points: 280
  ulitaka avaeje. siku yakikukuta tukuone uvaaji wako.
   
 11. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #11
  May 30, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Uislaam kupiti Qur'an, umeelezea mavazi yake na katika Biblia pia Mavazi yameainisha. Kama kusoma hujui angalia mapicha/ video za Yesu au Musa (Ten Commandments) kisha angalia mavazi yao ! Huwezi kuzifuta Ishara !
   
 12. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #12
  May 30, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Alipokuwa anavaa utupu. Alikuwa kwenye furaha eeehn !? We kweli ni ARV's
   
 13. RICH OIL SHEIKH

  RICH OIL SHEIKH JF-Expert Member

  #13
  May 30, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 882
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Maji ya shingo mkuu
   
 14. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #14
  May 30, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Kweli kabisa,alichobakia ni kuingiza nguo kwenye chupi angekuwa mwanamke wa dini ya kiislam.
   
 15. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #15
  May 30, 2012
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,642
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  kwa sasa mavazi yake ni ya kiheshima ila kwa kipindi cha nyuma kabla hajaingia matatani nguo zake unazikumbuka? fanya search google
   
 16. kimpe

  kimpe JF-Expert Member

  #16
  May 30, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 745
  Likes Received: 271
  Trophy Points: 80
  sio kila mzungu kijijini ni padri dogo
   
 17. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #17
  May 30, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Kwani wanawake wasio waislamu wanatembea uchi? Huwa naona masista wanavaa ushungi au sio?
   
 18. Al Zagawi

  Al Zagawi JF-Expert Member

  #18
  May 31, 2012
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,717
  Likes Received: 242
  Trophy Points: 160
  sasa ulitaka aende mahakamani na vile vimini vyake????!!!

  we vipi?????
   
 19. salito

  salito JF-Expert Member

  #19
  May 31, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,365
  Likes Received: 352
  Trophy Points: 180
  acha nijionee
   
 20. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #20
  May 31, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  angalau tumejua upo
   
Loading...