Wanajamvi muhali gani yawezekana siko sawa ktk hili hasa kwamwenendo nionavy mimi mara nyingi ifika siku ya mwalim jk tunaona hasa ktk tv hotuba zake kwa sauti na video kwakumuenz mzee wetu lakini...
Siku chache baada ya UVCCM kudai kuwa uamsho wamo serikalini, taasisi hiyo ya Uamsho imeibuka na kujibu hoja hizo kama ifuatavyo:
---------
Tunawajibu Stiphen Wasira na UVCC
Jana tulisikia kauli...
Jana nilikuwa kwenye kijiwe changu hapa Morogoro. Nikabahatika kuwakuta waandishi wa habari wakigida kinywaji mahali. Si unajua kwa vya bure jamaa wanaongoza nchini. Nasikia ati walikuwa na semina...
Jana tarehe 5/06/2012 ilikuwa ni siku ya ufunguzi wa mashindano ya UMISSETA kimkoa(Arusha) ambayo yanafanyika chuo cha ualimu Monduli,mgeni rasmi alikuwa ni mkuu wa wilaya ya Monduli cha...
Wana jf,nimesoma kwenye vyombo vya habari sijaona kama serikali Elimu imeipa kipaumbele.Mimi nadhani serikali imeamua kuachana na Elimu.Naomba mawazo na mchango kwa hili.
Jamani naomba a detailed CV ya Charles Charles mara mwanajeshi, mara kwenye magamba, ni nani hasa huyu binadamu. Siku hizi anaandikia gazeti la Jamhuri, ana Column huko...
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Tarime na Rorya Mkoani Mara, kupitia askari wake wa FFU limelazimika kutumia nguvu pamoja na kuwatisha kwa silaha wananchi na waombolezaji wa marehemu, Mgosi...
Nilikuwa nafatilia taarifa ya habari ya TBC 1 jana usiku, kati ya habari zilizonivutia ni ya serikali kupitia upya mkataba wa kampuni ya Startimes kutokana na malalamiko ya wafanyakazi kunyanyaswa...
Jana nikiwa natuka Arusha mjini naenda sehemu inayoitwa Maji ya chai waliingia jamaa 2 kwenye hiyo daladala wakawa wanapiga stori wakikisifia kitio flani cha polisi kuwa Arusha nzima kinaongoza...
Hii ni habari ya kusikitisha na nimeshindwa kuelewa HAKI iko wapi ama nani ana HAKI.
Siku ya Jana katika jengo la PPF PLAZA mwanza Maaskari wamempa kipigo Meneja wa Jengo hilo wakati walipokua...
Wana JF tulikuwa na mchakato wa kufungua tawi la CHADEMA online, na tulifika wanachama zaidi ya thelathini. Mchakato uliishia wapi? Mwenye kumbukumbu anijuze!!!!
Wazanzibar wanayo serikali yao,bajeti yao,bendera ya taifa yao,rais wao, wimbo wa taifa lao, sasa kupitia wana uamsho wanataka ukristo zanzibar uwe mwiko, JK wetu hataki mjadala wa eti muungano...
Katika uchaguzi mkuu ujao wa mwaka 2015, tutashuhudia tabaka la vijana waliozaliwa baada ya kuanzishwa mfumo wa vyama vingi vya siasa nchini wakipiga kura kwa kuchagua Rais, Wabunge na Madiwani...
Wamejaribu rangi nyingi tofauti:
Na kama hii:
Lakini kwa muda mrefu kulikuwa na rangi hizi ambazo bado binafsi sijaelewa kulikuwa na ulazima gani kuzibadilisha au zilikuwa na matatizo gani...
Jamani, leo nimeona comment kwenye Mwananchi nimeshangaa sana. Kulikuwa na comment kwamba balozi zetu za nje zipo kwa ajili ya kuomba misaada na kuratibu ziara za viongozi wa serikali katika nchi...
Chadema muazimishe siku aliyokufa CHACHA WANGWE .
Iwe ni siku maalumu kuwakumbuka wanaharakati wote waliouhawa au kufa vifo vya gafla wakipigania democrasia haki na ukweli kama
1. Prf...
Mr mbonde ambae ni katibu mkuu wizara ya Katiba na sheria.Hivi karibuni Amepeleka Wafanyakazi Kwenda TUME YA KUKUSANYA MAONI KATIBA MPYA..ambao vetting report zao zimeonyesha kuwa hawakufaa kwenda...