Vijana wa sekondari waleta m4c monduli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vijana wa sekondari waleta m4c monduli

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Zeddicus Zu'l Zorander, Jun 6, 2012.

 1. Zeddicus Zu'l Zorander

  Zeddicus Zu'l Zorander JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 571
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 60
  Jana tarehe 5/06/2012 ilikuwa ni siku ya ufunguzi wa mashindano ya UMISSETA kimkoa(Arusha) ambayo yanafanyika chuo cha ualimu Monduli,mgeni rasmi alikuwa ni mkuu wa wilaya ya Monduli cha kufurahisha vijana wakati wanapita kwa maandamano mbele ya mgeni rasmi walikuwa wanaonyesha alama ya vidole viwili kitu ambacho ni kigeni katika wilaya hii.
  Cha kushangaza ni pale wakati MC alipotambulisha uwepo wa mwenyekiti wa CCM wilaya wakati ile ilikuwa sio shughuli ya kisiasa,nadhani ilikuwa ni katika kutapatapa.
  My take, nadhani huu ni wakati wa chadema kuja kufanya mkutano mkubwa hapa Monduli ili kuamsha ari ya mabadiliko .
   
 2. K

  KISAKA MORIS JF-Expert Member

  #2
  Jun 6, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 372
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watakuja ndugu hakuna kitakachosalia, kila kitu kitakombolewa.
   
 3. B

  BARCA ON Member

  #3
  Jun 6, 2012
  Joined: Nov 26, 2011
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mda si mrefu watakuja valisha watu gwanda
   
 4. Comi

  Comi JF-Expert Member

  #4
  Jun 6, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 3,347
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  Tunaanza na sehemu sugu,tutakuja,mda huu tunakazana na zile sehemu ngumu kwenye ngome za hawa jamaa, hapo si pagumu kabisa
   
 5. Zeddicus Zu'l Zorander

  Zeddicus Zu'l Zorander JF-Expert Member

  #5
  Jun 6, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 571
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 60
  Lakini kuwabilisha hawa jamaa ya kimasai sio kazi ya mchezo.
   
 6. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #6
  Jun 6, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kuwa na subira mtuti huu ulio anzishwa hakuna wa kuuzima
   
Loading...