Unakijua kituo cha polisi kinacho ongoza kwa kutoa kichapo kwa maabusu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unakijua kituo cha polisi kinacho ongoza kwa kutoa kichapo kwa maabusu?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Alagwa, Jun 6, 2012.

 1. Alagwa

  Alagwa Member

  #1
  Jun 6, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 59
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Jana nikiwa natuka Arusha mjini naenda sehemu inayoitwa Maji ya chai waliingia jamaa 2 kwenye hiyo daladala wakawa wanapiga stori wakikisifia kitio flani cha polisi kuwa Arusha nzima kinaongoza kwa kutoa kichapo kwa maabusu Jamaa mmoja akasema `Ukipelekwa kituo cha Usa river alafu ukatoka lazima ukalazwe hospitali maana wale jamaa wanachapa ile mbaya`Sasa jamani ivi kituo cha polisi kina kuwa na hizi sifa badala ya sifa ya kutenda haki. Vipi kuhusu kituo cha polisi cha hapo kwenu? Ukingia alafu ukaachiwa lazima uende hospitali kwa maumivu ya kichapo?
   
 2. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #2
  Jun 6, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  cha hapa kwetu ukiingia kama mtumwa ukitoka kama mfalme na namba zao za simu wanakupa polisi
   
 3. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #3
  Jun 6, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Sijawahi lala mahabusu lakini sijasikia waliolala wakilalamika kupigwa kwa hapa kwetu.
   
 4. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #4
  Jun 6, 2012
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,732
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Kiboko ya vyote ni Sitakishari Ukonga,hapo wale walioshindikana ndipo wanapopelekwa,jamaa wanajua kutoa kichapo balaa,utasema kila kitu.
   
 5. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #5
  Jun 6, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,479
  Likes Received: 12,758
  Trophy Points: 280
  ni wapi huko nihamie?
   
 6. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #6
  Jun 6, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  hivi sheria zinasemaje juu ya hilo
   
 7. D

  Doreen22 JF-Expert Member

  #7
  Jun 6, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 475
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Eeh, unataka umpeleke mtu nini hapo!, Mi nilishawahi kuambiwa na Kaka mmoja ambaye alishapata noma hapo, kuwa kuna kituo kimoja cha polisi maeneo ya Air Port, nimekisahau jina, ila ni maarufu , kuwa si cha mchezo, kina mateso balaa but yeye ana bahati hakupelekwa kwa crime kubwa sana, na Mimi nilimuamini cause hicho kituo kilishawahi kuzungumziwa kwenye redio na kuandikwa magazetini kuwa kuna mtuhumiwa alifariki kutokana na mateso waliyompa walipomkamata, yaani hata wiki hazikuisha toka wamkamate
   
 8. D

  Doreen22 JF-Expert Member

  #8
  Jun 6, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 475
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  I mean wiki haikuisha!
   
 9. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #9
  Jun 6, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Duh si ungeiedit tu post yako?
   
 10. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #10
  Jun 6, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Buguruni kwa mnyamani upawezi flora msofe nyinyi watoto wa mboga kibao.
   
 11. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #11
  Jun 6, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,479
  Likes Received: 12,758
  Trophy Points: 280
  looh mi mtaalam wa dagaa tembele na maharagwe hakuna mboga ya maana wala nini
   
 12. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #12
  Jun 6, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Bora wewe!
   
Loading...