Kwanini Tanganyika(Bara) wanang'ang'ania kuendelea kuungana na wasiowataka(Zanzibar)? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini Tanganyika(Bara) wanang'ang'ania kuendelea kuungana na wasiowataka(Zanzibar)?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ntibhigejeje, Jun 6, 2012.

 1. n

  ntibhigejeje New Member

  #1
  Jun 6, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wazanzibar wanayo serikali yao,bajeti yao,bendera ya taifa yao,rais wao, wimbo wa taifa lao, sasa kupitia wana uamsho wanataka ukristo zanzibar uwe mwiko, JK wetu hataki mjadala wa eti muungano uwepo au la, au msako wa kila mkristo kuuwawa zananzibar utakapoanza ndo Watanganyika mtaona hatari ipo? G55 mlikuja na hoja nzuri kwanini msirudi tena au mnaogopa 'laana' ya mwalimu?
   
Loading...