Jamani msaada mniambie hakuna hotuba za karume muasis znz??

Doltyne

JF-Expert Member
Aug 29, 2011
440
170
Wanajamvi muhali gani yawezekana siko sawa ktk hili hasa kwamwenendo nionavy mimi mara nyingi ifika siku ya mwalim jk tunaona hasa ktk tv hotuba zake kwa sauti na video kwakumuenz mzee wetu lakini sijawahi kuona hata siku moja tv station ikiachia speech za karume zenye sauti yake mwenyewe mara nyingi huwa naona tbs huko zikwa namaelezo yamtangazaji km vile shabani kisu kamwe sijapata bahati yakumsikia huyo mzee aman, swali ni je inamaana hakuna kitu kizuri ambacho alikisema? Mzee huyu najiuliza au mzee alikuwa akipewa maiki yeye anamwaga matusi tu juu ya muungano eeh? Wadau michango yenu
 
Back
Top Bottom