CV | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CV

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mabhuimerafulu, Jun 6, 2012.

 1. m

  mabhuimerafulu Member

  #1
  Jun 6, 2012
  Joined: May 29, 2012
  Messages: 89
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Jamani naomba a detailed CV ya Charles Charles mara mwanajeshi, mara kwenye magamba, ni nani hasa huyu binadamu. Siku hizi anaandikia gazeti la Jamhuri, ana Column huko...
   
 2. Mwitongo

  Mwitongo JF-Expert Member

  #2
  Jun 6, 2012
  Joined: Jan 30, 2009
  Messages: 311
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  kinachokusumbua kitu gani? Jiulize Jaji Augustino Ramadhani ni nani- Ni jaji wa mahakama, ni brigedia jenerali wa JWTZ, ni mpiga kinanda, ni Makamu mwenyekiti wa Tume ya Kuratibu maoni ya Katiba mpya, ni mwimbaji mahiri wa injili, nk. Sasa shida gani kwa charles charles kufanya kazi nyingi ikiwamo ya uandishi? Kale furu!
   
Loading...