Nape hoi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape hoi!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Senator p, Jun 6, 2012.

 1. S

  Senator p JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2012
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Akizunguka nae kama popo,huku akiuza sura kuksafsha chama.Mambo yamekua cvyo,maana anajitapa kwamba"vua gamba,vua gwanda na vaa uzalendo"chama chake kimemkejel,kwa kulikumbatia gamba.Ushnd alioupata chenge ni pigo kwake.Kageukwa mpaka raha.
   
 2. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #2
  Jun 6, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Mkuu habari yako binafsi sijaipata jaribu kufafanua ili ueleweke.
   
 3. S

  Senator p JF-Expert Member

  #3
  Jun 6, 2012
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  imekuchanganya wapi?nape anasafsha chama,Chenge c mwenyekit wa kamat ya fedha na uchumi,na hapohapo n mmoja wa mapacha wa3,ambao ccm inadai wamekichafua chama.Thth chenge kashka nafs ambyo ndio makalio ya watz.Kama kwl chenge wanavym2humu,hakuna ccm inachofanya.
   
 4. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #4
  Jun 6, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,650
  Likes Received: 3,299
  Trophy Points: 280
  Mmh haya mkuu
   
 5. S

  Starn JF-Expert Member

  #5
  Jun 6, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 400
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kweli binadamu tunatofautiana kufikiria.
   
 6. mapanga3

  mapanga3 JF-Expert Member

  #6
  Jun 6, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 659
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 180
  huenda ulikuwa na points lakin ulivyoingia inaonesha umekurupuka, jipange na uingie upya!
   
Loading...