Waliozaliwa Baada ya Mfumo wa Vyama Vingi vya Siasa, Kupiga Kura 2015. Toa maoni yako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waliozaliwa Baada ya Mfumo wa Vyama Vingi vya Siasa, Kupiga Kura 2015. Toa maoni yako

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mzalendowetu, Jun 6, 2012.

 1. M

  Mzalendowetu Member

  #1
  Jun 6, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 87
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Katika uchaguzi mkuu ujao wa mwaka 2015, tutashuhudia tabaka la vijana waliozaliwa baada ya kuanzishwa mfumo wa vyama vingi vya siasa nchini wakipiga kura kwa kuchagua Rais, Wabunge na Madiwani. Wengi wa hawa vijana, ni wale ambao wamepata elimu duni ya sekondari kwa kusoma katika shule za kata zilizoanzishwa kwa wingi miaka ya 1990. Nini maoni na mtazamo wako kwa kundi hili kushiriki kuchagua viongozi wao?
   
Loading...