Nionavyo mimi TBC mmemuaibisha Waziri Amos Makala.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nionavyo mimi TBC mmemuaibisha Waziri Amos Makala..

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sexologist, Jun 6, 2012.

 1. sexologist

  sexologist JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2012
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 2,296
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 135
  Nilikuwa nafatilia taarifa ya habari ya TBC 1 jana usiku, kati ya habari zilizonivutia ni ya serikali kupitia upya mkataba wa kampuni ya Startimes kutokana na malalamiko ya wafanyakazi kunyanyaswa na uongozi!

  Kilinisikitisha ni pale TBC 1 waliporusha hewani sehemu ya mazungumzo ya naibu waziri Amos Makala na uongozi kwa lugha ya kiingereza.. Aisee TBC wasingefanya hvyo,,, jamaa anauliza sensitive ishu kwenye uongozi huku anacheka cheka.. Ni ishu ya michango ya NSSF za wafanyakazi kama inapelekwa kwenye shirika hilo la hifadhi ya jamii, mbaya zaidi kiingereza kibovu, mpaka yule aliyekuwa anaulizwa akaanza kutabasamu huku yeye akionekana na confidence kuliko waziri.. Wat a shame!

  Waziri anauliza ”a.a.a.a zeee zeee nssf contribution.. Are u... Are u..” Kabla hajamaliza yule dada wa kichina kashajibu.. Anawauliza tena ”do u have a licence” wanasema yes we have..

  Yaani very shallow s questions.. Yaani anauliza huku akitegemea majibu ya Yes.. He was not technical at all, rather than more friendly to the people alleged to violent and ignore tzs employees welfare.. Not him to be harsh but at least technical, as he was covered by the media.. Shallow English, TBC 1 shuldnt aired it!

  Mbumbumbu intelligent.
   
 2. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #2
  Jun 6, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  can we have the clip pleaseeee.
   
 3. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #3
  Jun 6, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Ebwana ile ngoma namimi imenisikitisha sana, nikajuta kwanini siku irekodi, japo kuwa Kujua kiingereza siyo ishu sana maana ni ugonjwa wa tuliowengi ila ni namna alivyokuwa anauliza maswali ki-layman utadhani mtoto asiyejua kusoma vizuri akisoma questionnaire yenye open ended questions ptuu!!!!!!!!!
   
 4. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #4
  Jun 6, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  hata simu ya mchina bro?
  ntaitafuta ktk blog ya kennedy habari ni habari
  sina hakika kama ataweka manake siku kibao hajaupdate blog yake
  ni vema tumejua tuna mawaziri makanjanja.
   
 5. Kabembe

  Kabembe JF-Expert Member

  #5
  Jun 6, 2012
  Joined: Feb 11, 2009
  Messages: 2,236
  Likes Received: 928
  Trophy Points: 280
  Ile the the the NSSF na the the the contribution anaiga kwa Mk.we.re and you know the the theee people are are watchingi me and and and you still bado taking my my myyy picture.......!
   
 6. Chilli

  Chilli JF-Expert Member

  #6
  Jun 6, 2012
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 1,638
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Ahsante TBC kwa kutuonesha aina ya watu ambao Kikwete anapenda kufanya nao kazi.
  Ila mi simshangai Makala, Kikwete mwenyewe mambo mengi sensitive huwa anauliza/kuyajibu kimasihara masihara. Unakumbuka alivyojibu kwa nini Tanzania ni maskini?
   
 7. Mnama

  Mnama JF-Expert Member

  #7
  Jun 6, 2012
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 1,646
  Likes Received: 356
  Trophy Points: 180
  Siku zote nasema uteuzi uzingatie uwezo na changamoto mtu atakazokutana nazo aweze kukabiliana nazo sasa ukileta ishu za ushkaji na nini na nini ndio haya ya kumbuka mbele ya umma.
   
 8. Tangawizi

  Tangawizi JF-Expert Member

  #8
  Jun 6, 2012
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 2,835
  Likes Received: 927
  Trophy Points: 280
  I miss man man at Cassa Club Mikocheni. Hayo mambo ya kuwavunjia mayai wachina wakati yeye mluguru sijui mzigua wa mvomero, wapi na wapi
   
Loading...