Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Posted on June 4, 2012 by zanzibaryetu Rais wa Chama Cha Wanasheria Zanzibar (ZLS) Awadh Ali Said akiongea katika sherehe za kuadhimisha siku ya sheria duniani katika bustani ya Victoria...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Dk shein hatembelei mtandao huu? Kama angalikuwa anatembela binafsi naamini angaliamrsiha polisi wapige risasi za moto watu walikouwa wakifanya fujo na kuchoma makanisa. Zaidi ya watu 100...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
  • Closed
Naiasa serikali ichukue haraka hatua za kudhibiti siasa kali za kidini huku bara kama ambazo tayari zimezusha vurugu Zanzibar. Sheikh Ponda na mujahidina wenzake pia wanakusudia kuleta vurugu kama...
11 Reactions
89 Replies
8K Views
  • Closed
Viongozi wetu hawatuambii ukweli kwamba tatizo la Zanzibar sio kero za Muungano, ni ubaguzi wa kidini. Viongozi wanafanya hivyo kwa makusudi wakidhani kwamba wakieleza ukweli wataamsha chuki za...
1 Reactions
49 Replies
6K Views
OPERATION CANCELLED!!! June 2, 2012 Another faith-filled testimony of a Tanzanian lady whose mother received her miracle without even realising it! “Emmanuel! I have two...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimekua nikifatilia mambo yanayo endelea nchini ikiwemo kitendo cha sintofahamu katikati ya jamii yetu kwanza kabisa ni vuguvugu la kisiasa lililopo hapa nchini kwa sasa! Kumekuwepo kesi nyingi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimesikia toka jana kupitia ITV, Mh: Kafulia akieleza kuwa mbunge amabye ni mjumbe wa kamati ya LAAC kakamatwa na Rushwa. habari inaeleza kuwa rushwa kupewa na watumishi wa serikali kwenye hotel...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Na Alfred Lucas - Imechapwa 30 May 2012 GAVANA wa Benki Kuu (BoT), Profesa Benno Ndullu amekana matumizi ya kifisadi ya Sh. 760 bilioni kwa mwaka mmoja katika safari za ndani na nje ya nchi...
0 Reactions
0 Replies
987 Views
  • Closed
mtoto wa kipalestina anasaidiwa na wapita njia baada ya kupigwa bomu katika mguu wake na wanajeshi wa Israel.
0 Reactions
40 Replies
6K Views
Ni kituo pekee cha TV ambacho kimekuwa kikiripoti M4C kwenye taarifa zake za habari tangu imezinduliwa kitaifa jijini Dar na kuendelea ktk mikoa ya kusini. Hongereni ITV.....
0 Reactions
5 Replies
1K Views
POmbe inayouzika zaidi mitaani ni viroba. Hicho ndio kilevi cha fastafasta kwa vijana wenye hali mbovu ya uchumi kutokana na uhaba wa ajira. vijana wa leo wengi wao ni wavuta bange, wala unga na...
0 Reactions
2 Replies
916 Views
  • Closed
Kitendo cha kamanda Kova kuzuia maandamano ya chadema jana,kwa kisingizio cha kutokuwa na askari wa kutosha kulinda raia na malizao,na kuwapa mashabiki wa timu ya mpira wa miguu simba kibali cha...
0 Reactions
63 Replies
6K Views
  • Closed
Jana nimeangalia taarifa ya habari startv pakawa na habari kuwa waislam wameanza kuchambua katiba ya sasa ili kujiandaa kwa katiba mpya. Kuna mjumbe mmoja akawa anahojiwa yeye akawa anasema...
1 Reactions
43 Replies
4K Views
Mawaziri wanakula rushwa, mahakimu wanakula rushwa, wabunge nao yaleyale. Tatizo liko wapi jamani Tanzania?
0 Reactions
0 Replies
855 Views
Wamezindua huduma mpya inaitwa Epic Moto ambayo mteja atatumia sh. 1 kwa sekunde kupiga kwenda mitando yote nchini. I hope sasa watazoa wateja kwa mtazamo wangu! Source: TBC1 & ITV Habari...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Nimeiona hii kupitia mwananchi kwamba wateja wanaotumia LUKU wataikosa huduma hiyo kuanzia saa 4 usiku had saa 7 mchana,,,,lengo ni kuboresha mfumo wa LUKU,,,,,,,so ina maana kwa saa 15 hakutakua...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Mara zote anapoonekana huyo bibi anakuwa na huyo jamaa pembeni. Hivi huyo jamaa ni nani, mumewe, msaidizi au nani?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndugu zangu, nimekuwa nasumbuliwa sana na suala la ukabila. Ukiingia Guest House au Polisi kuna kipengele cha kuandika kabila lako. Hili jambo linaniudhi sana. Sijui wengine mna mtazamo gani?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
SHERIA ZAWEKWA KARI, WATU WANAPIGWA MPAKA KUWA VIREMA HATIMAYE KUPOTEZA UHAI. Ndugu zangu wanajamiiforum hari bado ni tete huku machimboni,Nyaruyeye ni miongoni mwa kijiji kinachojipatia...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Jamani, tangu jana saa kumi jioni nilinunua luku token kupitia m-pesa na pesa ikakatwa. Sikupata token ila ujumbe toka kwa wakala wa Tanesco kuwa nitapata token baada ya muda mfupi. Cha ajabu ni...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…