polisi jamii hawafanyi kazi

Mtagwa lindi

JF-Expert Member
Mar 12, 2012
311
96
nimepata malalamiko kuwa askari ambaye ni ispekta wa polisi amae alipangiwa kufanya kazi ya polisi jamii mwaya hafanyi kazi kituoni kwake na badala yake anaendesha mashtaka mahenge mjini wilayani huku akiaribu kesi na kudai rushwa kwa watuhumiwa,nawasilisha
 
Back
Top Bottom