Tunapowazawadia vyeo watuhumiwa wa wizi tunawafundisha nini vizazi vijavyo?

glojos88

Member
Jul 31, 2010
43
4
Nashindwa kuelewa tunapoenda kimaadili katika nchi yetu na je ni ujumbe gani tunaoupeleka kwa vizazi vijavyo?
Ninaposikia watuhumiwa wakubwa wa ufisadi wakipewa vyeo bungeni na kwenye vyama vyao, ninabaki na maswali mengi.
1. Ina maana hakuna watu wengine wanaowazidi hao kwa sifa?
2. Ina maana sifa kubwa siku hizi ni uwe na tuhuma nzito ndipo utajulikana na kuzawadiwa vyeo.?
3. Je tunapeleka ujumbe gani kwa vizazi vijavyo?
4. Je sifa ya uongozi siku hizi ni lazima uwe na tuhuma?
5. Au je mtu asiye na nguvu ya pesa hawezi kuwa kiongozi mzuri?
6. Uadilifu tafsiri yake ni nini?
 
Back
Top Bottom