Tigo tigo tigo wizi huu mpaka lini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tigo tigo tigo wizi huu mpaka lini?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by JOYCE PAUL, Jun 6, 2012.

 1. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2012
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  JAMANI NISAIDIENI NATAKA KUJUA HII KAMPUNI YA TIGO INAYOIBIA WANANCHI WA TANZANIA inamilikiwa na nani huyo jamani,maana kampuni ni weziiii sijapata ona tena wizi wao wa wazi wazi nadhani ni zaidi ya wakoloni waliowai itawala tanganyika na visiwa vya unguja na pemba tena wanashirikiana na tcra wazi wazi kwani mamlaka hiyo imeshapokea malalamiko ila hayafanyii kazi ndio maana nasema wanashirikiana nao.
  kwanza kabisa tigo pesa ukinunua muda wa maongezi wanakata hela halafu haupewi muda wa maongezi na hela imeliwa kama yao vile.

  pili wananitutumia nyimbo ambazo wanakuja kunikata hela yangu bila idhini yangu,walivyo wajinga wanatuma meseji zao za mapenzi kuja kwenye simu yangu bila idhini yangu..jamni hivi kampuni ya tigo adminstration inafanywa na MAROBOT au binadamu?maana nashangaa ni watu gani wasiosikia.kama waliowapa leseni hawarudigi kukagua uendeshaji wa makampuni hayo au?mnisaidie maaana hii kampuni haina hata customer care maana hawapatikani hata siku moja ndio maana nasema TIGO itakuwa inaongozwa na maroboti waende wa wahusika wakaichunguze walau watubadilishie hayo maroboti maana wachunguzaji na wafuatiliaji ndio wamiliki wa tigo nadhani, maana bila hivyo wizi huu unaofanywa kwa wanachi wa kawaida maskini ungekuwa ulishadhibitiwa
   
 2. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #2
  Jun 6, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Pole sana_mtandao wa waizi hao,...hamia airtel mkuu...huku ni full respect.
   
 3. mapanga3

  mapanga3 JF-Expert Member

  #3
  Jun 6, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 659
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 180
  uyasemaxo ni kweli wahanga wahayo ni weng cha msingi kwakuwa wanaotakiwa kuwawajibisha wameziba masikio ni vema kutumia mitandao mingine badala ya kung'ang'ania kampuni ya waporaji. Hamia voda au airtel au zantel sawa eeeh!
   
 4. zaratustra

  zaratustra JF-Expert Member

  #4
  Jun 6, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 849
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Hakuna hata mwenye afadhali! Nina line za kampuni zote hizo; Zantel watakupigia simu, utakuwa na hamu sana ya kumjua aliyekupigia (maana haitakuwa na jina ila namba tu). Ukipokea tu unaanza kusikia watu wanaongea (wanapiga story za ajabu ajabu)! Airtel ni zaidi ya wiki tatu sasa niliporipoti juu ya kadi zilizofutika ukikwaruza, hadi jana nimeenda Mlimani City kuulizia, nikaambiwa bado "Network" haijatengemaa, mara sijui wanaingiza "manually", yaani ni kero tupu! Tigo nilijitahidi hadi nikajiondoa kwenye zile sms zilizokuwa zinakuja kutoka namba 155750 na 15770, sasa hivi wananitumia kutoka namba 15556, habari za michezo, mbaya zaidi wananikata hela wakati sijajisajili! Kuhusu voda ndo sisemi, maana unaweza kushtukia namba yako haipo hewani kumbe kuna mtu amei-block analamba salio lako kutoka kwenye M-pesa! Tukimbilie wapi??????:angry::angry::angry:
   
 5. w

  wikolo JF-Expert Member

  #5
  Jun 6, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 801
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Hili nalo ni balaa na kibaya zaidi ni kwamba waamuzi wa mchezo huu ni kama walishakufa vile. Tutaibiwa mpaka tukome! Kile kidogo unachobaki nacho baada ya kulipa kodi kubwa ndo hiki tena wajanja wanaendelea kukila kwa mtindo mwingine!
   
 6. Baba Sharon

  Baba Sharon JF-Expert Member

  #6
  Jun 6, 2012
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 374
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Joyce hakuna mtandao wenye afadhali wote ni wezi..................Tena Voda nahisi ndo wanakero kubwa sana kushinda hao Gwedo............Wameamua kutuibia nchi imekuwa shamba la bibi na wajukuu ambao ndo wananchi na wao wamegeuzwa kuwa shamba la bibi.....Ukiandamana ni kipigo...........ukileta mapigo ya uamsho ndo Jela na kipigo tena.........Style iliyobaki hapa ambayo haijatumiwa ni kujitos mhanga..
   
 7. chuki

  chuki JF-Expert Member

  #7
  Jun 6, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,691
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Inaongozwa na Wachaga.
   
 8. mkandaboy

  mkandaboy JF-Expert Member

  #8
  Jun 6, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 237
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Pole sana Joyce Paul. Mi mwenyewe walishanichoshaga hawa jamaa. Nilichoamua kufanya ni kuto-recharge kabisa,coz nikiweka tu hata ka-mia tano wanakikwapua fasta. Sijaona kampuni ya simu inayoiba kama hii tangu nizaliwe.
  Kama vipi achana nao hamia voda au airtel kuna unafuu flanii ingawa nako pia......
   
 9. s

  strong lady Member

  #9
  Jun 6, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Sasa hivi wameingiza wizi kwenye vifurushi ukinunua kifurushi cha siku ikifika saa 6 usiku kinakuwa mwisho hata kama ulinunua sasa 5 usiku SIKU kwao haimaanishi masaa 24
   
 10. Comi

  Comi JF-Expert Member

  #10
  Jun 6, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 3,347
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  hamia ttcl mobile
   
 11. Comi

  Comi JF-Expert Member

  #11
  Jun 6, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 3,347
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  hamieni ttcl
   
 12. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #12
  Jun 6, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,857
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  jaman hata me leo nimekumbwa na disaster la tigo. nimerecharge 500 nikajiunga na sms 15 na dk 5 za tigo wakakata 250 thn baada ya muda tena wakanitext kuwa nimepata dk 5 na sms 15 kwa mara nyngne. yan wamenibore kweli.
   
Loading...