Toa maoni yako hapa, kama unaunga mkono muungano ufe, liundwe shirikisho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Toa maoni yako hapa, kama unaunga mkono muungano ufe, liundwe shirikisho

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by theophilius, Jun 6, 2012.

?

Je ungependa wazanzibari wakubaliwe kujiondoa kwenye Muungano?

 1. NDIYO, muungano uvunjwe

  73.9%
 2. NDIYO, muungano uvunjwe liundwe shirikisho

  21.7%
 3. HAPANA, ziundwe serikali tatu

  4.3%
 4. SIJUI

  0 vote(s)
  0.0%
 1. theophilius

  theophilius Senior Member

  #1
  Jun 6, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 151
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kwa jinsi hali ya mambo ilivyo inaelelekea engi tutaaminishwa kwamba wazanzibari wengi wanapenda kujiondoa kwenye muungano wa sasa. Inawezekana kabisa hata wa-bara (watanganyika) nao walio wengi hawana tatizo muungano huu ukivunjika na badala yake yake tukawa na shirikisho la Tanganyika na Zanzibar (ambalo si vibaya likaitwa Shirikisho la Tanzania).

  Kwa bahati mbaya hakuna mahali watanganyika kama ilivyo kwa wazanzibar, wamepewa nafasi kueleza mawazo yao

  Kwa mwana-JF anayeona ni bora wazanzibari waachwe wajiondoe kwenye muungano na watanganyika wabaki na tanganyika yao, atoe maoni yake hapa kama njia ya KUWAELEZA WATAWALA ILI WACHUKUE HATUA STAHIKI
   
 2. Makucha

  Makucha JF-Expert Member

  #2
  Jun 6, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 255
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mimi ni muungano wa nchi moja Tanzania ama muungano ufe. Baada ya mpito huu tuliomo kama hatuungani kama nchi moja maana yake hatutaaminiana hadi huko mbele na katika hali hiyo muungano ufe.

  Ninajua watu wa nchi hizi mbili wanapendana na zaidi wangependa kuona tuko nchi moja ila tatizo ni madaraka wengine watakosa. Hata hivyo ikibidi wanchi waihofu bado tutashirikiana kwa utulivu mzuri zaidi kupitia shirikisho la Afrika ya Mashariki. hakuna haja ya kuwa na shirikisho la Tanganyika na Zanzibar halafu tuzungumzie kuingia shirikisho la Afrika ya Mashariki - ni gharama ya kuepukwa na zaidi shirikisho la Tanganyika na Zanzibar si ajabu hata kwa mazoea tu likaendelea na mizozo wa hapa na pale. Wananchi wasihofu kama hatuungani, wajue Udugu, ujirani na urafiki uliopo kati ya wananchi wa pande zote utaendelea tu na hasa umuhimu wa kupendana majirani kwa faida ya nchi mbili hizi na pengine ndipo baadaye nchi zote mbili zitaweza kutambua walichokuwa nacho, walichokosa na walichopata.
   
 3. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #3
  Jun 6, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,146
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  sisi waislamu wa ki-zanzibari tunataka ufe na tumedhamilia kuuvunja kwa gharama yoyote ikibidi ata umwagaji damu,ilimladi waislamu tupate haki yetu,tena baada ya makanisa kuchomwa mengi yanafuata
  kwanza tunataka mahakama ya kadhi na matumizi sharia za kiislamu
  pili tunataka zanzibari iwe nchi ya kiislamu ili tuweze kuongeza ushirikiano na nchi tunazozipenda kama somalia,Afganistani na pakistan
  tatu wakristo wote waondoke huku kwetu warudi kwao bara

  hakika bidii na spidi yetu ya kutaka kuvunja muungano ni nzuri inafurahisha na kwa spiidi hii muungano huu hauwezi kufika 2014 labda kama wabara hawaogopi fujo zetu,maana ikishindikana tutafanya fujo kubwa zisizo kifani na za aina yake..
   
 4. Kabembe

  Kabembe JF-Expert Member

  #4
  Jun 6, 2012
  Joined: Feb 11, 2009
  Messages: 2,236
  Likes Received: 928
  Trophy Points: 280
  Kinachonishangaza sana ni kwamba,hao wanaonufaika na muungano huu ndio walio mstari wa mbele kutaka kujitoa kuliko sisi watu wa Bara ambao hata maana ya muungano huu hatuijui achilia mbali hizo faida zake ambazo nazo kwa upande wa bara hazipo.Kwa common sense tu watu wanao ung'ang'ania huu muungano kwa upande wa bara ni wanasiasa na chama cha mapinduzi.Kwa kutumia udhaifu wa katiba yetu muungano huu uwa-favor CCM hasa kwenye uchaguzi mkuu.
  NB:Hivi ni muungano gani ambao watu wa upande mmoja hawaruhusiwi kumiliki ardhi au kuwa na makazi ya kudumu upande mwingine ilhali wa upande mwingine wako huru kufanya kuishi popote pale bila kubanwa na sheria au mila na tamaduni za wenyeji? Let this monstrous muungano go to hell!
   
 5. theophilius

  theophilius Senior Member

  #5
  Jun 7, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 151
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  taratibu kaka!
   
 6. lusubilo lucas

  lusubilo lucas Member

  #6
  Jun 8, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  muungano hauna faida kwa watanganyika hivyo ufe haraka. Kuna viongozi mbumbumbu wanajaribu kutoa sababu za kipumbavu(mwinyi na wengine wengi). Tukirejea hapo awali ata nyerere akuna sababu nzuri alizozitoa za uwepo wa muungano,hivyo akuna sababu za uwepo wa muungano
   
 7. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #7
  Jun 8, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,288
  Likes Received: 22,051
  Trophy Points: 280
  muungano ufe tu, wacha sie wa Tunduma tuungane na wenzetu wa Nakonde
   
 8. D

  Determine JF-Expert Member

  #8
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 257
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ufe tu
   
 9. theophilius

  theophilius Senior Member

  #9
  Jun 10, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 151
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  kwa nini sasa watawala wetu nwanatia pamba masikio!
   
 10. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #10
  Jun 10, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,288
  Likes Received: 22,051
  Trophy Points: 280
  wanalinda maslah yao
   
 11. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #11
  Jun 10, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Na sisi watu wa pwani tunataka tujiunge na Nchi ya Waislamu ya ZanIbar..... Hatutaki kuishi na Walaji Nguruwe wa Bara.... Chonde nchi igawanywe kwa Waislamu na Wakristu!!!!!!!

   
 12. Vijisenti

  Vijisenti JF-Expert Member

  #12
  Jun 10, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 474
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Sasa ukivunjika itakuwaje kwa sisi wakristo wa Arusha?
  Maana tujnayahitaji sana mafuya ya Zanzibar kwa Maendeleo
  ya Kanisa Katoliki.
   
Loading...