Binti wa kinigeria aliyefanya mapenzi na nyani afariki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Binti wa kinigeria aliyefanya mapenzi na nyani afariki

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kimatire, Jun 7, 2012.

 1. kimatire

  kimatire JF-Expert Member

  #1
  Jun 7, 2012
  Joined: Nov 27, 2008
  Messages: 365
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  This is yet another Shocker….
  Her name I got was Cynthia, she was picked by an Alhaji, and they went to have fun, after that the Alhaji took her to his guest house, and gave her $2000 to suck and sleep with his monkey, she refused at first, but on a second thought, she agree to do it, after all its just a matter of 5 to 10 mins for that huge amount.
  After the ordeal the alhaji went to drop her and drove off, few hours later she started complaining of stomach ache, she thought it was normal thing, but from what we gathered few hours later, maggots start coming out from her private parts, her friend tried to rush her to the hospital but it was too late…………. She died before they could do anything.
  Sometimes I wondered why our girls refuse to learn, they hear and see things happening every day, but for the love of money, they can do anything
  Her full identity was not given as it’s a thing of shame…………
  Please ladies be careful…Tamaa mbaya..!!
   
 2. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Sold her soul to the devil, another way to work!
   
 3. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #3
  Jun 7, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,800
  Trophy Points: 280
  filamu za kinaijeria hizo, yaani funza wa-develop in few hours of count?
   
 4. rushanju

  rushanju JF-Expert Member

  #4
  Jun 7, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 2,339
  Likes Received: 1,045
  Trophy Points: 280
  Funza ni matoto ya inzi. Sasa unataka kuniambia kuwa kwa muda huo tu inzi walikuwa tayari wameisha ingia na kutaga na mayai yalisha komaa mpaka kuwa funza? Mi sijaelewa vema au labda mi ni mgumu kuelewa...
   
 5. LD

  LD JF-Expert Member

  #5
  Jun 7, 2012
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  He! Makubwa haya....mmh very sorry to her.....R.I.P
   
 6. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #6
  Jun 7, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Alhaji???? alikwenda hija huyo....aiseeee
   
 7. s

  sugi JF-Expert Member

  #7
  Jun 7, 2012
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,367
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  Au huyo alikuwa na std ambayo ipo kwenye dangerous stage
   
 8. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #8
  Jun 7, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Hapa kuna mambo mawili ambayo yanaweza kusadifu uongo.

  1. Limetumika jina la Alhaji makusudi ili kuchafua taswira ya maalhaji. Kwa wale wanao jua ma alhaji na kitendo kilichoelezwa binafsi nauona mpakazo (huo ni mtazamo wangu)

  2. Funza kwa namna yoyote ile hawawezi kujitengeneza kwenye mwili wa binadamu ndani ya dakika chache halafu waanze kudondoka kama wanavyo dondoka kwenye mzoga.

  Kwa mantiki hiyo. Kama namba mbili ni ni kweli basi hapa kuna upishi wa habari hata kwenye namba 1. Huu ni uongo wa mchana kweupe.
   
 9. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #9
  Jun 7, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280

  Humo kwenye blue_nakushauri usipende kuusemea moyo wa mwingine,.....au dini imekupofua uono/vision ya mambo.
   
 10. mzurimie

  mzurimie JF-Expert Member

  #10
  Jun 7, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 6,151
  Likes Received: 1,604
  Trophy Points: 280
  hii kitu inatokea sana na huyo ametoa pesa hizo yeye atatengeneza nyingi zaidi. ni atakuwa amejiunga na kitu labda cult or ..., kupata utajiri au biadhara zake ziendelee. na hiyo ni moja au ndio condition pekee aliyonayo ili mambo yake yaendelee au atadirika yeye either kifo, kichaa, chochote na kupoteza yoteee aliyoyajenga.

  sasa amemtumia binti huyo kwa ritual/sacrifice hiyo, na inaegemea inabidi afanye kila wakati gani, labda baada ya miezi fulani, mwaka, etc. inasikitisha sana tena sana na inatokea mabinti wengi hupotea kwa njia tofauti.

  ndio funza wanatoka kwa wengi tu. inasikitisha wao kutumia pesa as wengi tama hujaa.

  halafu ni wajanja wengi wanamzoea binti kwa muda ili ku build trust then weeeeeeee, na wengi wanakuwa hawajaonana na watu around binti ili wadsijulikane au wanaweza toka mfano, Musoma kwenda Mtwara kutimiza mambo.

  Tanzania lazima mambo yaku sacrifice yapo

  SAD
   
 11. mzurimie

  mzurimie JF-Expert Member

  #11
  Jun 7, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 6,151
  Likes Received: 1,604
  Trophy Points: 280
  ndio maana inasemwa tembea uone au usikie. kwani lazima ujue kila kitu, achana na sayansi hapa ni maisha.
   
 12. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #12
  Jun 7, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 568
  Trophy Points: 280
  ......... Stil Loading Network........60%......


  MIZAMBWA
  INANUMA SANA!!!
   
 13. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #13
  Jun 7, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Udaku...
   
 14. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #14
  Jun 7, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  hata asingebanduliwa na ngedere kufa ni lazima watz wabishi sana kwenye kuamini ktk kufa ndo mana kwenye misiba mnalialia kama watoto
   
 15. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #15
  Jun 7, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  hata asingebanduliwa na ngedere kufa ni lazima watz wabishi sana kwenye kuamini ktk kufa ndo mana kwenye misiba mnalialia kama watoto :sent from my NOKIA 6120c using jf
   
 16. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #16
  Jun 7, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Hakuna ukweli wowote. Hizi ni simulizi za kinaijeria tu.
   
 17. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #17
  Jun 7, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  so sory to sister cynthia for kwa kuendekeza njaa....
   
 18. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #18
  Jun 7, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
 19. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #19
  Jun 7, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Du dem mkali kinyama lazima niwe fisadi...
   
 20. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #20
  Jun 7, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,077
  Likes Received: 6,540
  Trophy Points: 280
  Huyu dada anaonekana hata usoni ana msongo fulani,
  au ndo kusaka manoti sijui, lakini alikuwa mzuri sana. R.I.P.
   
Loading...