Voda,tigo,airtel simu za huduma kwa wateja hazina maana? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Voda,tigo,airtel simu za huduma kwa wateja hazina maana?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Fullfigadiva J, Jun 9, 2012.

 1. Fullfigadiva J

  Fullfigadiva J Member

  #1
  Jun 9, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukikwama na kuwapigia ni taabu sana kuwapateni tatizo ni nini? Mbona USA unapiga Call centre haraka unajibiwa? Ni heri mzitoe kabisa tujue hakuna Namba za Huduma kwa wateja. Nawasilisha.
   
 2. ERIC JOSEPH

  ERIC JOSEPH JF-Expert Member

  #2
  Jun 9, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mkuu unachosema ni kweli maana haina mana zaidi ni kutudanganya wananchi mana km tg ndo usiseme mi juz nimewapigia nikaladhimika kuiweka sm on hk nawasikiliza wao masaa mawili yalipita ndo nakuja kupata huduma sasa hii mana yake nini naunga mkono hoja wafute namba ya huduma kwa wateja haina mana.
   
 3. ARV

  ARV JF-Expert Member

  #3
  Jun 9, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 304
  Trophy Points: 180
  Ni kweli ndugu yangu unayosema, lakini kwa voda nadhani wanajitahidi, ni mara chache sana ukiwakosa.wana matatizo yao lakini hili la customer service wanajitahidi sana.
   
 4. K

  Kipimbwe JF-Expert Member

  #4
  Jun 9, 2012
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Tatizo la ku outsource majukumu
   
 5. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #5
  Jun 9, 2012
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Yani hawa kero tupu...bure kabisa,customer care sifuri...bora waziondoe tu tujue moja.
   
 6. R

  Rebel volcano JF-Expert Member

  #6
  Jun 9, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 404
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kero nyengine hizi msg za matangazo ya ofa kwa upande wangu zimekuwa kero nomber moja,nimezoea kila msg ina umuhimu wake,na naweza kukurupuka kutoka usingizini nikijua msg ya muhimu kumbe upumbavu mtupu,la ajabu zantel wamevunja rekodi,wao wanakupigia simu kwa nomber za kawaida ukipokea.....nadhani mnaelewa,wanatupelekesha kama walevi kisa vita vya kimaslahi,bila kutujali!
   
 7. U

  Uswe JF-Expert Member

  #7
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  TTCL customer service ya ni nzuri sana, tatizo sio 24/7 na pia back office yao inawaangusha, wanaweza kupewa tatizo wasifanyie kazi kwa hiyo customer service wanabebeshwa lawama

  airtel ni tigo unaweza kukaa nusu saa bado unaambiwa wahudumu wetu wanahudumia watu wengine, endelea kusubiri!
   
Loading...