Wadau Matungucha Kimara Vipi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wadau Matungucha Kimara Vipi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Goodrich, Jun 8, 2012.

 1. Goodrich

  Goodrich JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 2,050
  Likes Received: 632
  Trophy Points: 280
  Kama mnavyojua Matungucha, Kimara ilikuwa ni sehemu muafaka ya wapenda maendeleo kukutana jioni na kubadilishana mawili matatu kuhusu changamoto za siku.
  Sasa huu mchakato wa kujenga miundombinu ya mabasi yaendayo kasi naona umevunja kabisa kile kijiwe chetu.
  Tujulishane baada ya ngome kupigwa tumehamia wapi wakuu ?
   
 2. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,726
  Likes Received: 446
  Trophy Points: 180
  mkuu hii matungucha wameipiga greda? Yule mzee matungucha na ile presha yake atakuwa salama kweli?
   
 3. b

  beyaa New Member

  #3
  Jun 9, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Matungucha kimara mbona bado ipo imemegwa kidogo tu bado mnaweza kukaa na wadau wenzako mliokuwa mkikutana pale
   
 4. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #4
  Jun 9, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Watu siku hizi tunakaa kwa chini pale walipo lima na tunakula Eufa kama kawa
   
 5. Mr. Mwalu

  Mr. Mwalu JF-Expert Member

  #5
  Jun 9, 2012
  Joined: Feb 4, 2010
  Messages: 812
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 60
  duh umenikumbusha mate wangu wa o' level kwa teti! michael matungucha kessy na mdogo wake deo kessy sijui wako wapi hawa watu!
   
 6. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #6
  Jun 9, 2012
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Wanae matungucha wengi ni marehemu walidungwa shaba mmoja bada ya mwingine
   
 7. Goodrich

  Goodrich JF-Expert Member

  #7
  Jun 9, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 2,050
  Likes Received: 632
  Trophy Points: 280
  Hiyo imetulia. Ila vumbi si balaa
   
Loading...