Tanzania inaenda kufanana na Marekani.

Senator p

JF-Expert Member
Oct 27, 2011
282
43
Hii ni katika kuongea hasa kwa vijana hawaongei kiswahl sanifu,yaan wanakela maneno 3 kiswhl mawili kingereza.Wanawaiga wa marekan kuongea kingereza cha wingereza na lugha zao.Sina maana wasiongee ila kma kingera ieleweke,bora waongee wenyewe tu,siku hz hata watangazaj.Utazan watz wote wanafahu kingereza.Wapo ambao hata kiswahili hawajui,kma kingereza unataka kukiongea ongea mwanza mpaka mwisho.
 
hata wewe hujui kuandika kiswahili fasaha
 
Hii ni katika kuongea hasa kwa vijana hawaongei kiswahl sanifu,yaan wanakela maneno 3 kiswhl mawili kingereza.Wanawaiga wa marekan kuongea kingereza cha wingereza na lugha zao.Sina maana wasiongee ila kma kingera ieleweke,bora waongee wenyewe tu,siku hz hata watangazaj.Utazan watz wote wanafahu kingereza.Wapo ambao hata kiswahili hawajui,kma kingereza unataka kukiongea ongea mwanza mpaka mwisho.

Kama hivi uli-edit original ilikuwaje?
 
Ukiona mtu anakopi kitu cha nje na kudharau chake basi tambua huyo mtu hajiamini (ana low self esteem). Vijana wengi haswa watangazi wa redio zetu kiingereza hawajuwi ila wanabahatisha, badala ya kuongea lugha yao inayosikilizwa na watanzania sehemu zote hapa bongo wao wanaongea kiingereza. Utashangaa zaidi ya asilimia 99.9 ya wasikilizaji wao ni waswahili ambao hata kiingereza hawajuwi, wao watangazaji watangaza kwa kiingereza wanamtangazia nani? Wakuu wa vipindi wapo, wao badala ya kukemea hili eti wanaona ujiko. Hapa Tanzania mtu aliyesoma hata chuo kikuu hapa Dar bado english kwake ni tatizo sembuse hawa watangazaji wa form six au four. Jamani badirikeni mnatukera mno!
 
unaongea nini na unafanya nini? Maneno kama self esteem, form four, six ni ya kiswahili?
 
kwa nilivofundishwa shule na mhadhiri wangu proff Rugemalira mwalimu wa isimu, alisema inapotokea mtu akawa anauelewa wa lugha mbili mara nyingi huzichanganya, yaani anajikuta anapungukiwa na msamiati wa lugha fulani hivyo anatafuta kibadala cha lugha nyingine, ama kusahau neno kwa lugha fulani, hivyo mara nyingi ni jambo ambalo kuliepuka unaitaji kumakinika na tafakuri yakutosha..Lakini wapo wanaochanganya kwa ajili ya ufahari tu..mfano msukuma anaweza ongea kisukuma akajikuta anachanganganya na kiswahili.
Hili swala si hapa tu, kuna wakorea walikuwa wanaelewa kiswahili wakiwa nchini kwao walikuwa pia wanajisahau wakawa wanachanganya na kiswahili mfano (pugus posoyo sana) wakimanisha wamekumbukana sana.
 
Hilo ni janga la taifa maana siku hizi utaona wanasiasa na viongozi wakichanganya Kiswahili na maneno ya Kiingereza.

Sent from my GT-I9100 using Tapatalk 2
 
Hii ni katika kuongea hasa kwa vijana hawaongei kiswahl sanifu,yaan wanakela maneno 3 kiswhl mawili kingereza.Wanawaiga wa marekan kuongea kingereza cha wingereza na lugha zao.Sina maana wasiongee ila kma kingera ieleweke,bora waongee wenyewe tu,siku hz hata watangazaj.Utazan watz wote wanafahu kingereza.Wapo ambao hata kiswahili hawajui,kma kingereza unataka kukiongea ongea mwanza mpaka mwisho.

Nilivyouona huu uzi nikadhani tunafanana nao kiuchumi kumbe kiuwendawazimu!
 
We mwenyewe Unajiita Senator, co english hiyo? sioni cha kupondea hapa kwani we huelewi wakiongea?
Lugha hakuna cha kuiga, kwani uliambiwa english ni ya mzungu au swahili ya mtanzania? Lugha ni ya kila kiumbe bna, hata ndege huwasiliana, ili mradi tunaelewana life linasonga, hatuigi mtu lugha ni yetu sote... ndo maana mnapondea hata kufundisha english toka primary ati c uzalendo, nani alisema uzalendo ni kiswahili? Soma Definition ya lugha afu unambie.... Tunahitaji kuongea tuelewane bna ndicho cha muhimu hicho acheni lawama watanzania
 
Hii ni katika kuongea hasa kwa vijana hawaongei kiswahl sanifu,yaan wanakela maneno 3 kiswhl mawili kingereza.Wanawaiga wa marekan kuongea kingereza cha wingereza na lugha zao.Sina maana wasiongee ila kma kingera ieleweke,bora waongee wenyewe tu,siku hz hata watangazaj.Utazan watz wote wanafahu kingereza.Wapo ambao hata kiswahili hawajui,kma kingereza unataka kukiongea ongea mwanza mpaka mwisho.

Unapotaka kuandika juu ya uandishi wa lugha kwa ufasaha inabidi na wewe uwe makini kuandika kwa ufasaha ili kushawishi hao unaowalaumu na wengine kwamba unachokipigania unakielewa vizuri:

wanakela.......Wanakera
kingereza...........Kiingereza
wa marekan........Wamarekani
wingereza..........Uingereza
siku hz hata watangazaj.Utazan watz .......Zingatia mahali sahihi pa kuweka koma na kituo kikuu
wanafahu kingereza.............Wanafahamu kiingereza
mwanza............Mwanzo

Ufasaha wa lugha ni pamoja na mpangilio wa maneno na sentensi kwa usahihi wake, na kuzingatia vitu kama koma, alama ya kuuliza, mshangao, fungua na funga semi, kituo kikuu n.k. Mimi si mwalimu wa kiswahili lakini naipenda lugha yangu.

Ulikuwa na muda wa kutosha kuandika vizuri lakini si kama hivi utafikiri ulikuwa unaandika upo kwenye baiskeli.

Hii ni katika kuongea hasa kwa vijana hawaongei kiswahl sanifu,yaan wanakela maneno 3 kiswhl mawili kingereza.Wanawaiga wa marekan kuongea kingereza cha wingereza na lugha zao.Sina maana wasiongee ila kma kingera ieleweke,bora waongee wenyewe tu,siku hz hata watangazaj.Utazan watz wote wanafahu kingereza.Wapo ambao hata kiswahili hawajui,kma kingereza unataka kukiongea ongea mwanza mpaka mwisho.
Wewe ndio kabisa.....kiswahili fasaha sifuri. ona: Wanakela = wanakera; kingereza = kiingereza; wingereza = uingereza; kingera = Kiingereza;wanafahu = wanafahamu; mwanza = mwanzo. Kwa hayo makosa machache...wewe na hao unaowalaumu mna tofauti gani?
 
Back
Top Bottom