LOWASSA kukosa mkutano wa kesho Jagwani 8.06.2012 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

LOWASSA kukosa mkutano wa kesho Jagwani 8.06.2012

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kachanchabuseta, Jun 8, 2012.

 1. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  [​IMG]  Habari zilizonifikia hivi punde ni kuwa Jemedali kaptani The great LOWASSA
  amesusia mkutano wa ccm utakaofanyika kesho jagwani

  Je hii inaashilia nini kwa wana ccm wenzangu?

  Kwanini mzee huyu amekaa katika malengo ya kukizoofisha chama?

  Kwanini Mikutano mingi inayoandaliwa na Nape mzee huyu huwa anaisusia?
   
 2. O

  Original JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2012
  Joined: Mar 18, 2012
  Messages: 326
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Lowasa ana kaccm kake mfukoni. Ccm ya akina Nape ni ya kinafiki na inashindwa kuchukua maamuzi magumu.
   
 3. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,615
  Likes Received: 396
  Trophy Points: 180
  Lowassa ni Nyinyim D
   
 4. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,176
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 145
  Haoni maana ya kwenda kuitwa gamba hadharani Jeykey.
   
 5. F

  FJM JF-Expert Member

  #5
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,090
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Kama hakuna harambee basi hawezi kuja. Yule ni mtu wa kugawa pesa!
   
 6. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #6
  Jun 8, 2012
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,311
  Likes Received: 1,045
  Trophy Points: 280
  Anataka aalikwe na mwenyekiti wa chama taifa, sio Nape!
   
 7. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #7
  Jun 8, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,490
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  samahani wakuu hivi kesho ajenda ya kuvuana magamba itazungumzwa, ??
   
 8. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #8
  Jun 8, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 3,944
  Likes Received: 1,632
  Trophy Points: 280
  ...wamwambie wanajenga kanisa jangwani...
   
 9. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #9
  Jun 8, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,058
  Likes Received: 883
  Trophy Points: 280
  Lowassa hawezi kwenda kwenye mikutano cheap kama hii anayoaandaa Nape na JK...yaani mkutano hauna motive yoyote basi tu wanaiga iga tu ..kwelimaji yamezidi unga
   
 10. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #10
  Jun 8, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,569
  Likes Received: 21,075
  Trophy Points: 280
  this is more interesting....
   
 11. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #11
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 10,995
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Ameshasoma alama ya nyakati nini?
   
 12. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #12
  Jun 9, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 9,847
  Likes Received: 3,132
  Trophy Points: 280
  anapanda jukwaa moja na nape anapokuwa na maslahi kama arumeru,..nashindwa kuelewa vipi hiki chama bado kinasurvive wakati ni vipandevipande!
   
 13. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #13
  Jun 9, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 12,793
  Likes Received: 1,581
  Trophy Points: 280
  Mkuu nikumbushe. Hivi huko Arumeru Laigwanan alipanda jukwaa moja na Nape? Nape alitia timu Arumeru kweli?
   
 14. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #14
  Jun 9, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 33,681
  Likes Received: 8,243
  Trophy Points: 280
  Kimbunga Nape alikwenda na Mkapa kufunga kampeni na Lowasa siku hiyo alikuwepo, Nape akaongea kauli za kujikosha kwa Lowasa, inshort Nape ni sisimizi tu kwa Lowasa.

  [h=3]MKAPA ATUA ARUMERU KUFUNGA KAMPENI ZA CCM[/h]
  [h=3][/h]
  [​IMG]
  Rais na Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Benjamin Mkapa (kushoto) akiwa kwenye chumba cha kufikia kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) baada ya kupokewa na Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama (kushoto) leo asubuhi. Wa pili kulia ni Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #15
  Jun 9, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,025
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  tanesco wakitaka wavuliwe magamba wakate umeme. hahahaaaa...hii nchi bana!. chadema tanesco wanatukatia umeme lakini ccm umeme unakuwepo mwanzo mwisho.
   
 16. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #16
  Jun 9, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,054
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Lowassa sio mtu wa kukurupuka kama Nape na JK.
   
 17. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #17
  Jun 9, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 36,312
  Likes Received: 14,582
  Trophy Points: 280
  keshahamia misikitini tena?
   
 18. hodogo

  hodogo JF-Expert Member

  #18
  Jun 9, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 239
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kisiasa Lowasa ana macho ya kuona mbali kuliko akina "Mwape". Nasali na kuomba mkutano wao upate watu wa kutosha, kinyume chake itasemwa Mzee mzima katia kono lake kuuhujumu mkutano!
   
 19. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #19
  Jun 9, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 11,832
  Likes Received: 1,287
  Trophy Points: 280
  Huyu jamaa ndio roho ya ccm
   
 20. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #20
  Jun 9, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 59,510
  Likes Received: 35,122
  Trophy Points: 280
  Hizi ni dalili za mpasuko mkubwa ndani ya magamba. Enzi za Mwalimu hali kama hii asingeiruhusu kabisa. Angefukuza wahusika wote wanaosababisha mpasuko huo....lakini kama tujuavyo CCM hii ya leo ni tofauti sana na ile ya enzi za Mwalimu...Kikwete anajijua ni mchafu hivyo hana ubavu wa kumkemea au kumfukuza yeyote ndani ya magamba anabaki anakenuakenua tu kama kila kitu ndani ya magamba kiko shwari huku magamba ikiendelea kujifia taratibu.   
Loading...