Exemptions from paying tax | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Exemptions from paying tax

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Chilisosi, Jun 9, 2012.

 1. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #1
  Jun 9, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Waungwana, naomba kuuliza, Naishi ugaibuni na nilimaliza shule Miaka miwili iliyopita na sasa nataka kurudi nyumbani na vitu vyangu, Naomba kuuliza je bado ninahaki ya tax exemption au sinahaki hiyo tena? pia naomba kujua ni baada ya muda gani unahaki ya kupewa tax exemption baada ya kumaliza shule ?

  Mdau
   
 2. J

  Jovegg Member

  #2
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  We ni mtanzania miaka miwili bado hujapata exemption mr. You have to pay tax on that imported goods ,even your repatrieted income you have pay tax.
  In short your not qualify exemption.
   
 3. J

  Jovegg Member

  #3
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  We ni mtanzania miaka miwili bado hujapata exemption mr. You have to pay tax on that imported goods even your repatrieted income you have pay tax.
  In short your not qualify exemption.
   
 4. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #4
  Jun 9, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  sijakuelewe vizuri naomba unifafanulie zaidi. kiufupi sikuwahi kutumia haki yangu ya exemption tax wakati nasoma, na baada ya kumaliza shule nilipata working visa ambayo itaisha hivi karibuni na ninajitayarisha kurudi home na vitu vyangu. sasa nataka nijue kwa nini si qualify for exemption, au ni baada ya muda gani baada ya kumaliza masomo huwezi ku qualify for examption? tafadhari naomba ambaye anajua anifafanulie zaidi
   
 5. vipik2

  vipik2 JF-Expert Member

  #5
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,175
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Subiri wajuzi waje, huyu kapuku aelekea mweupe na ana roho mbaya na kijiba cha roho papo
   
 6. mwakajila

  mwakajila Senior Member

  #6
  Jun 9, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 188
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Dial 0800110016 or 0786800000 its TRA Call Center Number...wanapatikana Jumatatu mpaka Ijumaa 8am-5pm...
   
 7. J

  Jovegg Member

  #7
  Jun 10, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  wewe ***** wa kijiweni nenda ka some Income tax Act 2004 revised edition of 2006 section 6 (1) na VAT Act 1997 au revised edition third schedule. Alafundo uje unye kwenye jamvi c ajabu hujui hata nani anatakiwa awe na exemption na ni wakati gani then unakunyanya ujinga. Acha watu wa shauri.
   
 8. J

  Jovegg Member

  #8
  Jun 10, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  wewe ***** wa kijiweni nenda ka some Income tax Act 2004 revised edition of 2006 section 6 (2) na VAT Act 1997 au revised edition third schedule. Alafundo uje unye kwenye jamvi c ajabu hujui hata nani anatakiwa awe exemption na ni wakati gani ***** wewe then unakunyanya ujinga. Acha watu wa shauri.
   
 9. M

  Mkatakiu Member

  #9
  Jun 10, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi nimerudi mwezi wa pili na nimesamehewa. Unaqualify for exemption of personal effect ikiwa na maana vitu ulivyokuwa unatumia na gari moja. Ila kwa gari unatakiwa uwe ulilinunua mwaka mmoja kabla hujarudi kwamaana ya kwamba ulikuwa unalitumia. Ukiwa unakidhi vigezo unajaza BD Form unaambatanisha na passport yako unapeleka TRA longroom. Kampuni iliyonisaidia website yao ni Customs Clearing and Forwarding in Tanzania - Lifeline Commercial Agencies Ltd. - hope they can give you professional advice
   
Loading...