Ubongo wa ccm umekufa na umekoma kufikiri ,tutegemee nini jangwani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ubongo wa ccm umekufa na umekoma kufikiri ,tutegemee nini jangwani?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by busega, Jun 9, 2012.

 1. b

  busega New Member

  #1
  Jun 9, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jangwani hakuna jipya leo zaidi ,ccm imepoteza mashiko
   
 2. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #2
  Jun 9, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  kuongeza ujinga na kupoteza wanachama zaidi
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Jun 9, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,154
  Trophy Points: 280
  Chanzo cha Mauti
   
 4. L

  Lakuchumpa Member

  #4
  Jun 9, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wajinga walikuwa wanawajaza ujinga wajinga wenzao
   
 5. Master jay

  Master jay Senior Member

  #5
  Jun 9, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 187
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mbn cjaelewa heading
   
 6. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #6
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,796
  Likes Received: 36,821
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 7. a

  andrews JF-Expert Member

  #7
  Jun 10, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  CCM HAWAACHI KUOTA MCHANA KWEUPE,KATIKA KAMPENI ZAO ZA KUWAPUUZA WATANZANIA WAMEANDAA ULAGHAI MWINGINE ILI WAPATE KURA ZA WAPUMBAVU.
  1.KUANZISHWA BENKI YA WAKULIMA
  2.KUANZISHA BENKI YA VIJANA
  KATIKA UANZISHWAJI BENKI HIZO SERIKALI INA MPANGO WA KUWAHADAA WATZ KWA KUWAAMBIA WATAWAKOPESHA MIKOPO YENYE RIBA NAFUU,KUANZIA MILLION 1MPAKA 15.LAKINI KATIKA UOMBAJI HUO UNAHUSISHA WAJUMBE WA NYUMBA KUMI KAMA MAWAKALA WAO ILI UPATE MKOPO,CHA KUCHEKESHA ZAIDI INAAMINIKA CCM IMEJIPANGA KUTUMIA KITAMBULISHO CHA URAIA NA HASA CHA KUPIGIA KURA KAMA MTAJI WA KUWAPATA HAO WALENGWA.NA KUHAKIKISHA WANAOCHUKUA MIKOPO WOTE WATAIPIGIA CCM UCHAGUZI KUANZIA UDIWANI WA 2014 NA UCHAGUZI MKUU 2015.LAKINI WAJUMBE WENGI WANA WASIWASI KUWA VIJANA WALIO WENGI WAMEELEVUKA SANA NA WATAKULA PESA ZAO NA KUWAPIGIA WAPINZANI.CCM ILITUMIA MKUTANO WA JANGWANI KAMA KIPIMA JOTO SASA WAMEANZA KUINGIWA NA WASIWASI MAANA MKUSANYIKO ULE HAUKUKAMILIKA BILA YA PESA SASA WANAJIULIZA BILA VIKINDI VYA SANAA KWELI WATAKUBALIKA,MJUMBE ALIYE KARIBU NA NAPE KASEMA CHADEMA INAWANYIMA USINGIZI KULIKO HATA MAGONJWA YA WAZAZI WAO AU WANANDOA WAO.
  BINTI MREMBO LUMUMBA CCM
  :confused2:
   
Loading...