Sikiliza balaa la muungano !!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sikiliza balaa la muungano !!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by dostum, Jun 12, 2012.

 1. d

  dostum JF-Expert Member

  #1
  Jun 12, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 215
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  BABA: Mwanangu Sasa Ushafikia Umri Wa Kuanza Shule. Jiandae Wiki Ijayo Nikakuandikishe!...

  MTOTO: Sawa Baba, Utanipeleka Shule Gani?

  BABA: Nitakupeleka Shule Ya Msingi NYERERE!

  MTOTO: Siitaki LAANATULLAAH

  BABA: Basi Nitakupeleka Ya KARUME!

  MTOTO: Huyo Ndiye Aliyemleta Nyerere Huku, Siitaki pia

  BABA: Kama Hizo Huzitaki Sasa Nitakupeleka Ya MUUNGANO

  MTOTO: Lol! Yaani Skuli Zote Baba Unipeleka Ya Hilo Nyonya Damu.

  BABA: Basi Sema Wewe Wataka Ipi?

  MTOTO: Mimi Nataka Ya MAPINDUZI Iliyopo ZANZIBAR ACADEMY

  (DUH, DOGO HATAKI KUSIKIA NYERERE, KARUME WALA MUUNGANO WAO)

  Je WeWe UnAtAkA ShUlE gAnI?
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Jun 12, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,253
  Likes Received: 19,383
  Trophy Points: 280
  ile ya DOLE ile alosoma mwinyi hawaitaki?
   
 3. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #3
  Jun 12, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Ya madrasa ya Kiarabu
   
 4. L

  Lubaluka JF-Expert Member

  #4
  Jun 12, 2012
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 496
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Haaaa Haaaaa.. nice joke at the right time!!!!! haaaa Haaa
   
 5. Pinokyo Jujuman

  Pinokyo Jujuman JF-Expert Member

  #5
  Jun 12, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mie nataka Skuli ya Mchamba wima"
   
 6. Chuck j

  Chuck j JF-Expert Member

  #6
  Jun 12, 2012
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 1,971
  Likes Received: 409
  Trophy Points: 180
  Mie naitaka ya makunduchi
   
 7. b

  bumes Senior Member

  #7
  Jun 12, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 101
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  vipi shule ya utumwa
   
 8. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #8
  Jun 12, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,635
  Likes Received: 2,871
  Trophy Points: 280
  ... Mwenge !
   
Loading...