CCM Kwa Ubishi wa kijinga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM Kwa Ubishi wa kijinga

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kurzweil, Jun 11, 2012.

 1. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #1
  Jun 11, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,898
  Likes Received: 4,750
  Trophy Points: 280
  Hii ITIKADI ya vyama imefikia pabaya sana. Tupo kwenye Mafunzo ya women
  emporewement politics leadership.

  Bahati mbaya tumepewa karatasi ya kuandika majina Na vyama tutokavyo.

  Likaja suala la Uongozi, imeleta shida sana, kwa bahati mbaya sijui nzuri
  CHADEMA wako wengi wameshinda kwa karibu nafasi zote, CCM wamegomea matokeo imeniuma sana, tunapoteza muda kwa ujinga tu.

  REMIJA MTEMA
   
 2. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #2
  Jun 11, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,136
  Likes Received: 7,389
  Trophy Points: 280
  Hao jamaa hata vyuoni wanagalagazwa vibaya mno
   
 3. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #3
  Jun 11, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Nadhani imefikia mahali waelewe na kukiri kwamba hawatakiwi popote . si vijijini wala mijini.
   
 4. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #4
  Jun 11, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,860
  Trophy Points: 280
  Sijaelewa hapo mwisho
   
 5. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #5
  Jun 11, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hata mimi hapo nahitaji ufafanuzi
   
 6. M

  MTK JF-Expert Member

  #6
  Jun 11, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 6,960
  Likes Received: 2,837
  Trophy Points: 280
  And that is why we seek CHANGE to cleanse our country of mediocrity, selfishness and personal aggrandisement and give our country a new promise.
   
 7. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #7
  Jun 11, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  CCM vijijini wanagalagazwa, vyuoni wanagalagazwa, hao wanaokataa matokeo wajitathmini wapo wangapi, na waliokubaliana na matokeo wapo wangapi!
  Nape, the most bogest politician of the century!
   
 8. M

  MKALIKENYA JF-Expert Member

  #8
  Jun 11, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,198
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 133
  Yani hawatakiwi si mjini wala kijijini, mashuleni wala vyuoni, misikitini wala makanisa, kata wala tarafani, kaskazini wala kusini, ofisini wala kijiweni yani kwa kifupi ata pale LUMUMBA ndani ya ofisi yao hawatakiwi.
   
 9. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #9
  Jun 11, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Labda ame copy kutoka kwenye wall ya Remija on fb
   
Loading...