Kupanda gharama za maisha na pato la mtanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kupanda gharama za maisha na pato la mtanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ngahekapahi, Jun 12, 2012.

 1. N

  Ngahekapahi JF-Expert Member

  #1
  Jun 12, 2012
  Joined: May 8, 2012
  Messages: 530
  Likes Received: 127
  Trophy Points: 60
  Ndugu zangu wanajamvi mimi hii kitu sielewi inalenga nini,na kwa upande wangu naona kama serikali imeshindwa kabisa kutekeleza wajibu wake.Kila leo unasikia gharama za huduma mbalimbali zikipanda mfano DAWASA kuanzia july wanapandisha gharama za maji,ambapo maji hayo hayapatikani sehemu zote kama inavyopaswa hapa Dar.TANESCO wakaongeza gharama za umeme,watu wa DALADALA na wenyewe wakata ongezeko la 150%,Vyakula bei juu.Wakati huo haya yote yanamkuta mtanzania mshahara wake au pato lake liko palepale.Sasa hii ni kumkomoa Mtanzania au nini ndugu zangu.Naomba kuwasilisha.
   
 2. M

  Mkekuu JF-Expert Member

  #2
  Jun 12, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ndiyo tujie kuwa kikwete siyo chaguo la mungu,hii laana imfikie kiongozi bongo fleva.UNATEGEMEA NINI?baraza lake la mawaziri wezi yeye mwenyewe ndiyo kabisaa,taasisi za uma zinashindwa kujiendesha sababu ya mfumo mbovu huyu ANGUKA ZAIDI.
   
Loading...