Kununua gari kwa Instalments | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kununua gari kwa Instalments

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ngisibara, Jun 11, 2012.

 1. Ngisibara

  Ngisibara JF-Expert Member

  #1
  Jun 11, 2012
  Joined: Jan 2, 2009
  Messages: 2,083
  Likes Received: 431
  Trophy Points: 180
  Hivi hapo Dar hakuna kampuni ambayo inaweza kupokea pesa kwa awamu kadhaa mpaka hapo unapomaliza ndio wanakupatia gari? kwa mfano awamu ya kwanza nalipia FOB, awamu ya pili nalipia Freight na awamu ya mwisho nalipia TRA etc na wakanipatia model ile ile ambayo naipenda na si lazima iwe kwenye show room yao, nimejaribu kufanya mawasiliano na kampuni kadhaa za Japan wengi wanakubali two instalment, yaani unalipa FOB halafu unamalizia CIF within two weeks, sasa ngoma kuanzia hapo bandalini, TRA, Clearing agent na mazagazaga yake ndio taabu ilipo, Naomba mnijuze jinsi ya kununua gari Dar bila preshaa kama inawezekana...NATOA HOJA.
   
 2. R

  Richard Nguma Member

  #2
  Jun 11, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hi , kwa ushauri tuu jitahidi kudondoiza hela
  Mpaka itimie,Mimi mwenyewe niliagiza Toyota Noah B65
  4wd ya mwaka 2004 ,I payed $5050 cif mpaka Mombasa
  Nilimtumia mdogo wangu dollar $4500 mpaka gari kufika
  Arusha ,please don't use dar port use mombosa port
  3 year ago niliagiza Toyota landcruase prado 2000 cif$ 15,000 to Mombasa port , mpaka kufika Ar payed $7000,yaani kamanda kuagiza gari ni rahisi sana tatizo ni TRA wanatumaliza ,please don't buy a car under 2002 u will pay dump fees asilimia 80 ya bei uliyonunulia );u can email me ,richard
   
 3. R

  Richard Nguma Member

  #3
  Jun 11, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  My email is richardnguma@gmail.com
  Kuna maagent wanaofafanya kazi nzuri sana Mombasa port, Holili is the best
   
 4. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #4
  Jun 11, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Nakuunga mkono mkuu Mombasa is the best.Bongo usanii mwingi
   
 5. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #5
  Jun 11, 2012
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Nilinunua gari mwaka jana Autorec Japan kwa instalments tatu na nikwataka wasilisafirishe hadi nitakapokuwaambia kwa ajili ya kodi na wakafanya hivyo.
   
 6. Loly

  Loly JF-Expert Member

  #6
  Jun 11, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 485
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
  nikweli mombasa nisimple kupitia namanga, bc8 . Hii inatokana na comptn ya tax region huwezi compare mapato ya dar na arusha
  maana dar wanakadiriwa wakusanye kodi kubwa kuliko namanga au holili, nahiyo kodi kubwa mnapaswa
  kuilipa nyie mnaolipa kupitia bandari ya dar.
   
 7. R

  Rebel volcano JF-Expert Member

  #7
  Jun 11, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 404
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tamaa kubwa za kodi matokeo yake hata wa tanzania wanaifaidisha kenya kuliko nchi yao,kwa nini t.r.a hawawi marafiki kwa wafanyabiashara na wananchi kwa ujumla???!!!
  kwa nini hawapunguzi kodi zao ili zilingane au ziwe chini zaidi na nchi jirani??!!
  t.r.a lifikirieni hili na umefika wakati wa kujirekebisha.
  gari ununue 15ml,ulipie gharama zote mpaka itoke 12.5ml kweli usalama upo hapo?!
   
 8. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #8
  Jun 11, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nunua kwangu, sema unataka gari gani na bei gani, na utalipa kwa installment ngapi. Lets talk busness!!!!
   
 9. Chuck j

  Chuck j JF-Expert Member

  #9
  Jun 11, 2012
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 1,990
  Likes Received: 417
  Trophy Points: 180
  Mnyika liangalieni hilo
   
Loading...