Trafiki na kazi ya uhasibu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Trafiki na kazi ya uhasibu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by njugilo, Jun 12, 2012.

 1. njugilo

  njugilo Member

  #1
  Jun 12, 2012
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 59
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Hi JF members, please nahitaji msaada maana nashindwa kutofautisha kati ya kazi ya askari wa usalama barabarani na mhasibu(mkusanya pesa).J Hawa askari mafunzo yao yanakwenda pamoja ?yaani kusoma jinsi ya kusimamia sheria za usalama barabarani na ukusanyaji wa pesa barabani.Nimepata kukamatwa zaidi ya mara mbili na kuulizwa maswali kadhaa nikiwa naedesha gari,maswali yaliyokuwa sahihi hakuna shida ila yanazaa maswali mengine ,swali moja likawa halina jibu sahihi unaletewa kitabu na kuamriwa kulipa faini papo kwa papo, Swali je hizi pesa au makusanyo (on road collections) yanafika panapostahili ? na pia mara ukamatwapo na kosa sheria ya usalama inasemaje? Kero je Kila askari wa usalama barabarani ni muhasibu ? naomba kuwakilisha !
   
Loading...