Mjengwa v/s Michuzi blog

TIQO

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
13,787
2,078
Ipi inabamba kwa news updates kwenye matukio mbali mbali?
 
Mjengwa anatoa mada za;
-Kiasilia
-familia yake
-Ccm kwa wingi(ila siku hizi kapunguza)
-Chadema kiduchu
-Anachambua magazeti

Michuzi ana weka ;
-Picha nyingi za ma miss
-Picha nyingi za Ccm
-Picha nyingi za ziara za vasco
-Hakuna uchambuzi wa habari au taarifa ila za ikulu tu.
 
Back
Top Bottom