Ccm ilitumia milioni 200 kwa mkutano wa jangwani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm ilitumia milioni 200 kwa mkutano wa jangwani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by andrews, Jun 10, 2012.

 1. a

  andrews JF-Expert Member

  #1
  Jun 10, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  [h=2][​IMG] Ccm ilitumia milioni 200 kwa mkutano wa jangwani[/h]
  INAONESHA JINSI GANI CCM WALIVYOFILISIKA KISIASA,KITENDO CHA KUKODI MABASI NA MALORI KUTOKEA KIBAHA NA KISARAWE KWA GARAMA NYINGINE ZA KUWALIPA WAJUMBE WA NYUMBA KUMIKUMI NI TOSHA KUWA SASA KINAPOLOMOKA.KWA NINI CCM IIGE KILA INACHOKIFANYA CHADEMA,MKUTANO WA JANGWANI ULIKUWA NA MAANA GANI?WANGEKUJA NA MAELEZO KUWA WAMEWAFUKUZA AU KUWAVUA UANACHAMA MAFISADI MAGAMBA NDANI YA CHAMA INGEELEWEKA,HAKINA UBAVU HUO HAKINA UBAVU WA KUWAWAJIBISHA MAWAZIRI WALIOFUKUZWA KWA UBADHILIFU,WANAKUJA NA SIASA ZA KURUDISHA KADI ZA CHADEMA NA NYINGINE ZA KUPRINT MITAANI NI TOSHA UENEZI WA NAPE UNA MASHAKA HIVI KITU GANI WALICHOFANYA JANGWANI KILICHOWEZA KUWASHAWISHI WAPIGA KURA WAO KWA KUWA WAJUMBE WAO MITAANI,WABUNGE,MAWAZIRI NA WANCHAMA WAO WOTE MTAJI WAO WA USHINDI NI KUNUNUA NA KUIBA KURA.ASIMAME KADA YEYOTE KUTOKA CCM ASIMAME ADHARANI NA KUSEMA HAWANUNUI WALA HAWAIBI KURA SASA MBUNGE WAO WA BAHI WATAMFUKUZA KWA LIPI?IWAPO KUANZIA IKULU MPAKA UCHAGUZI WA WABUNGE WA EAC WOTE NI RUSHWA TUPU SASA WATANZANIA WAMEAMKA NA HAKUNA LONGOLONGO NA CCM IJIANDAE KUWA CHAMA PINZANI 2015 WATAKE WASITAKE HUO NDIO UKWELI KWAKUWA VIJANA 80% YA WATANZANIA HAWAITAKI TENA CCM ITAPONEA WAPI?:closed_2:​


   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Jun 10, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Du aibu hyo mil200 ingetosha visima vingapi jamani hivi vya mil3? Si visima karibia 70? Kweli NyinyiEM haiwajali wananchi kabisa.
   
 3. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #3
  Jun 10, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  milioni mia mbili yaweza kujenga chumba cha upasuaji huko simanjiro na kupunguza vifo vya wajawazito badala yake tunasubiri ufadhili wa wazungu.
   
 4. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #4
  Jun 11, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,276
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
   
 5. MwalimuZawadi

  MwalimuZawadi JF-Expert Member

  #5
  Jun 11, 2012
  Joined: Sep 1, 2007
  Messages: 643
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hizo m200 zinajumuisha gharama za usafiri na ule muda watumishi wa serikali (mawaziri) wametumia kukaa wakipiga propaganda za chama? Ni zaidi, wachumi wanaweza kutujuza zaidi
   
 6. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #6
  Jun 11, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  wametumia 200mX10=2.0bn
   
 7. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #7
  Jun 11, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,841
  Trophy Points: 280
  milioni 200 ni sawa na bajeti za halmashauri kama tano hivi kwa mwaka

  pole zao sana hawa magamba
   
Loading...