Hivi ni kweli? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ni kweli?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Comi, Jun 12, 2012.

 1. Comi

  Comi JF-Expert Member

  #1
  Jun 12, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 3,347
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  Kwa wakazi wa arusha hususani watumiao hiace(daladala) na private cars, je uchache wa barabara ndiyo chanzo cha trafik jam au ni tamaa za traffik na kutofuata sheria za barabarani? Mf. Kona ya mbauda askari wa barabarani wanasimamishaga mabari hususani malori je pale kuna parking?kwa nini wasijadiliane na manispaa pakatengwa sehemu za kuegesha magari? Ukitoka osterbay hakuna kituo cha kuegesha gari hadi majengo je polisi/manispaa hawaoni hilo ni tatizo? Kwa upande wa wananchi na wenyewe ni kero mf. Ukitoketa ngulelo ukafika sanawari kuna kituo lakini cha kushangaza ukivuka taa za sanawari wananchi wanasimamisha hiace na mda mwingine traffik wanaona na kunyamaza,kuna umuhimu gani wa trafic arusha zaidi ya kusumbua wananchi na kuendekeza rushwa?
   
Loading...