Kuna watu nimewasikia kwenye vyombo vya habari wameshutumiwa kuwa Wamefuja mali za Nchi, na ni mafisadi wakubwa,.. mapapa wakubwa, na mapapa wadogo, dagaa... BUT ndio hao hao Wamekuwa wanajenga...
Ndugu zanguni
atuna budi kuishi kama wasio na matumaini na kuamini mungu ndie alimleta na ndie alieamua kumchukua ni vigumu kuamini na sikuwahi kuhisi hili ila furaha ilioje ni kwamba mama yangu...
Ni kweli kwamba ubinadamu umetiwa hatarini kwa kuzingirwa na Malaria. Katika maeneo yote ya kitropiki, vimelea vya ugonjwa wa Malaria vinavyohatarisha afya ya mwanadamu na kusababisha vifo...
kuna doga amechukua tuzo za taswa hapa nadhani ni mpiganaji kapoteza mda mwaingi kumsifia mkewake kalazimisha hadi kumpandiasha stejini ni limama hilo kama mama yake shame on him,nimekosa picha
Katika kutafakari tu ni makubaliano yapi au msingi upi unaofanya bajeti za nchi mbalimbali hasa afrika mashariki kusomwa siku moja na takribani kwa muda unaofanana? au kuna sababau za kiuchumi...
Mighahawa kama hii huzua mangung'uniko kwa wahudumu kuwa na ubaguzi wa rangi
Utafiti nilioufanya hivi karibuni katika mighahawa inayoitwa ya kitalii hapa nchini nimebaini kwamba wateja wenye...
Cost of Rearing a Child Rises to $234,000
Having kids is expensive, as if parents needed to be told that. But the US government issued a report today quantifying just how expensive: For a child...
HISTORIA imethibitisha kuwa jamii, dola au mataifa yaliyofanikiwa kupata maendeleo haraka ni yaliyokuwa na viongozi ambao walithamini na kutumia kwa busara vipaji vya watu wachache miongoni...
Hotuba ya Bajeti ndo inasomwa sasa lakini usomaji wa Mheshimiwa Waziri wa Fedha unaninyima raha. Nakosa mtiririko mzuri kwa sababu anakwamakwama sana na kukoseakosea maneno. Nimesema tu just to...
ukiwa kama kijana mwenye mtazamo tofauti katika maisha yako inabidi utambue nguvu kazi yako katika kuletea maendeleo taifa lako, hii ni pamoja na kujua wajibu wako katika nafasi ulionayo kwa...
Jeshi la polisi mnajifunza nini hapa? mnapaswa kuwa polisi rafiki, siyo polisi adui, rejesheni imani kwa watanzania muwe rafiki kama mnavyoona ktk picha. hawa ndo waajiri wenu wa baadae 2015...
Majambazi yenye silaha usiku wa kuamkia leo yamefanikiwa kuwateka wavuvi na kuwanyang'anya mashine zipatazo 20 zenye thamani ya Tsh,896,000,000/= .Tukio hilo limetokea ktk visiwa vya Ukara na...
Kuna habari za kutatanisha kuwa tayari baraza la wawakilishi la Zanzibar au tunaweza pia kuliita Bunge la Zanzibar wanavutana kuhusu kuvunja Muungano na kundi linaloelekea kushinda ni lile...
Ukombozi wa kuwapinga wakoloni katika kudai uhuruTanganyika umeanzia mbali sana hata kabla ya TANU kuanzishwa.historia inaeleza kuwa walikuwepo viongozi mbalimbali kama kina chifu mkwawa,chifu...
Wakuu,nafuatilia kwa umakini hii bajeti ya mwaka wa fedha 2012/2013,ni bayeti ya kukomoa,kuanzia Mawasiliano,Pombe,Sigara,Magari,vimepanda....
Mbaya zaidi huyu Waziri wa fedha anasoma huku...
Wadau hivi ni kwanini elimu ya juu Tanzania haimuwezeshi mhitimu kujiajiri pindi amalizapo masomo yake,matokeo yake anazunguka mtaani miaka na miaka na vyeti vyake anaishiwa kudhalilishwa na...
Mimi nina swali ambalo napenda kupata maoni ya watu humu!
Je kuna uhusiano wowote kati ya uwezo wako wa kiakili (Intelligence) na hali yako ya kimaisha? nikimaanisha kwamba, Je, umaskini wako au...