Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Yamesemwa mengi kuhusu migomo na makusudio yake ikihusisha madaktari, walimu na wafanyakazi kwa ujumla wao. Si kwamba hatuoni hali halisi, tuna macho na kwa kweli tunaona. Ukweli ni kwamba...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimelifuatilia kwa muda lile tangazo la konyagi nikijinasibisha na roho ya nchi,NANUKUU "KONYAGI the spirity of nation". Baada ya kufuatilia mijadala ya bungeni juu ya bageti, jinsi ambavyo...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Na Charles Kayoka Wiki iliopita nilikuwa ziarani Bagamoyo. Nilifika katika mgahawa mmoja ambao ulionekakuwa msafi. Tulikuwa wengi. Siku ya kwanza mmoja wetu aliwauliza wahudumu kama kuna huduma ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
  • Poll Poll
Kuna mradi wa umeme pale Dodoma katika kitongoji cha Kikuyu Kinyambwa ambako wananchi wameahidiwa kupewa nguzo na Tanesco ili waanze kupata umeme wa mradi lakini mradi umekwama kwa kuwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani sijaamini nilichokiona na kukisoma kwenye gazeti la tanzania daima jumapili hii,ndugu zangu wanajamii forum kwenye gazeti hili ukurasa wa 8 kuna habari na picha ya mwanaume aliyeota maziwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Juzi wakati wa kuchangia hoja ya bajeti ya serikali ya mwaka 2012/13,Vita Kawawa alisimama na kujaribu kueleza kuhusu deni la taifa.Kiukweli ninachoweza sema alijitahidi kutuhadaa watanzania kwa...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Diwani wa kata ya Manchira (CCM) na ambaye pia likuwa makamu mweyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Serengeti amefariki dunia, Mungu awafariji wafiwa na wanaManchira kwa ujumla! Rest in Peace...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Viongozi wa CCM wanaangalia zaidi maslahi ya chama chao hasa wanapofanaya maamuzi yanayowahusu watanzania wote. Wapinzani wanafanya maamuzi kwa kuzingatia hali halisi ya watanzania. Kwa hivo kuna...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mtangazaj wa clouds fm Ephraim Kibonde leo jioni katika kipindi cha jahaz amemtetea Ngeleja kwa kauli yake ya kukashifu bajeti ya kambi ya upinzani na kuiita bajeti mbadala kitu ambacho Tundu...
1 Reactions
64 Replies
9K Views
Jamani hili tamko la vitisho kutoka kwa RC wa Dar Merck Sadiqi limekaa sawa? Ametangaza kwamba serikali itawachukulia hatua madaktari wote watakogundulika wanafanya mikutano ndani ya maeneo ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Waziri wa Afya Hussen Mwinyi amesema meza ya mazungumzo na madaktari imefikia ukomo, mengi ya madai yao yamekwisha tatuliwa(eg.kujiuzuru kwa watendaji wa wizara,call allowance,postmortum allowance...
1 Reactions
38 Replies
4K Views
Hakuna kada yenye viongozi dhaifu kama ya ualimu..mishahara ya wanaowaongoza iko chini ila wao hawana shida wamelala fofofo angalia viongozi wa kada ya afya pamoja ya kuwa mishahara ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
WanaJF Mgogolo mkubwa umetokea kati ya DC Estelina KIlasi na wananchi wa wilaya mpya ya Wanging'ombe baada ya yeye kutaka ujenzi wa makao makuu ya wilaya yawe Mdandu na siyo Igwachanya kama...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
It's a feat most able-bodied people would struggle to achieve - scaling one of the highest peaks on the planet. Spencer West managed it using just his hands. The 31-year-old, from Toronto...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
THISIS THE ONLY TIME WE WILL SEE AND LIVE THIS EVENT Calendar for July 2012 (United States) July Sun Mon...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu hii imekaaje? Nimesoma makala ya Kicheere katika gazeti la Mwanahalisi jana kuwa JK alifanya safari kwenda Brazil na shughuli iliyompeleka ni kumshawishi Maximo kuja kuifundisha timu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
bodaboda karibia 1800 ktoka maeneo ya tegeta,mbezi beach na kawe zimefunga barabara kuelekea mwananyamala kumuona mwenzao aliye gongwa. Inasemekena aliyegogwa/dreva mwenzo kafa so wanaenda kulinda...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Jana nimeshuhudia viashiria kadhaa vya kuanza kufeli kwa zoezi la uandikishaji wa wananchi mitaani katika zoezi zima la utoaji wa vitambulisho vya Taifa. Nilipita katika ofisi za kata za...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wakati umefika serikali iweze kubadili mfumo wa ajira hasa kwa management za halmashauri zetu.kuna baadhi ya halmashauri zinafanya vizuri sana lakini nyingine huwezi kuamini.watu wenye uwezo wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Am a customer of Airtel modems. I bought one after seeing the advert that the modems cost 30,000/=tshs and have free internet for six months only to realise that the advert is far from the truth...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…