Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nasikia wanasema mtoto kabemendwa,ni kupi?je ukifanya mapenzi na mkeo ukiwa mtoto mdogo ndo anabemendeka?
0 Reactions
9 Replies
6K Views
huwa najiuliza sana kuna haja gani bomba la kusafirisha gesi kutoka mtwara lijengwe mpaka dar na kutumia gharama kubwa na kutengeneza hatar nyingi. kwann kinachokuja kufanyika dar kisifanyikie...
3 Reactions
25 Replies
6K Views
Baada JK kumrithi Mr. Safi , hali ya maisha inazidi kuwa ngumu, hasa ubande wa upatikanaji wa fedha. Katika kipindi alichoongoza Mr. Safi palikuwepo mianya mingi ya kupata pesa kwa njia yoyote ile...
0 Reactions
2 Replies
871 Views
Ikiwa bado baadhi ya vyombo vya habari vye serikali vikizidi kuficha hali halisi ya mambo Mgomo wa madaktari jijini Dar es Salaam umeanza kushika kasi ambapo katika baadhi ya hospitali ikiwemo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wandugu JF hali ni mbaya sana katika hospital ya kcmc kutokana na mgomo wa madaktari tangu juzi. Jana nilipeleka mgonjwa wangu akitokea hospital ya mkoa wa mawenzi akiwa na hali mbaya tena akiwa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Natinga huko muda si mrefu kuweka msisitizo! niambien angalau ni sehemu gani nzuri tuwe tunakutana weekend!?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa Dar-es-salaam yetu,jambo kama hili ni la kawaida hasa mida ya asubuhi watu wanapokuwa na haraka kuelekea kwenye shughuli zao za kila siku.
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Kipindi flani nilimshuhudia Dhaifu akiwaahidi wasanii wa muziki wa kileo studio mpya, labda aliamini wasanii tabu yao ni studio, ama ni vyombo vipya Lakini ukifikiri kidogo unagundua alilenga ama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
More than pains beyond comparison. Japo mishahara yetu ni midogo bado machungu yanaongezwa kwa kukatwa 40000 ktk mishahara yetu midogo. Suala je ni bodi ya mikopo au ndio mikakati kuongeza vyanzo...
0 Reactions
0 Replies
839 Views
Simbachawene: Sijafumaniwa NAIBU Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene, ameibuka na kukanusha vikali uvumi ulioenea jana kuwa amefumaniwa na mke wa mtu mjini Singida usiku wa kuamkia...
0 Reactions
35 Replies
7K Views
NAIBU Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene, ameibuka na kukanusha vikali uvumi ulioenea jana kuwa amefumaniwa na mke wa mtu mjini Singida usiku wa kuamkia jana na kujeruhiwa mkono kwa...
3 Reactions
113 Replies
12K Views
Taratibu ila wenye madhara makubwa.Madaktari wanagoma kwa aina ya kipekee.Muhimbili,Bugando,KCMC na kwingineko ni balaa.Huduma zimedorora.Watu wanataabika.Serikali yalazimisha mijadala isiyo na...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Star TV Fundisheni watangazaji wenu Kusoma Magazeti Kwa kipindicha karibu miezi miwili hivi nimegundua kuwa Kile kipindi cha Tuongee Magazetikwa upande wa Star TV na Watanzania tuzungumze...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Katibu Mkuu wa Vijana wa BAKWATA amesema mgomo wa madaktari unaoendelea hauna nia njema kwa taifa. Amedai mgomo huu unaweza kusababisha vifo vya watz wasionahatia. amewataka wote wanaoshabikia...
1 Reactions
89 Replies
7K Views
Wadau niko safarini kwenda Iringa nimeanza safari saa sita na nusu mchana. Nimepanda basi lenye majina mawili kwa gari moja, ubavuni limeandikwa Budget na mbele linaitwa Upendo. Gari...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimetoka kushuhudia ajari mbaya ambapo mtu mmoja amegongwa na pick up ikitokea ubungo mataa kwa kasi imemgonga na kichwa kupasuka ubongo kusambaa tapatapa barabarani" bahati nzuri kulikuwepo na...
0 Reactions
45 Replies
7K Views
Ushuru wa magari ni mkubwa sana, Simamieni sana hilo,,mfano umenunua gari on line japan kwa usd 2500 ambayo ni tsh 4000000,tra wanakukadiria ushuru unakua sawa nna bei ya kununulia kama m4 jumla...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mambo ya freemason
0 Reactions
46 Replies
14K Views
Kauli hiyo ilitolewa na Dr Hussein Mwinyi,ambaye alikua ni miongoni mwa mawaziri waliotoa ahadi za maziwa na asali mda mchache baada ya KUAPISHWA... Japo haujapita muda mrefu saana tangu aingie...
0 Reactions
2 Replies
856 Views
vipi nitoke??!!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…