Kcmc hali mbaya mgomo wa madaktari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kcmc hali mbaya mgomo wa madaktari

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Wikiliki, Jun 26, 2012.

 1. Wikiliki

  Wikiliki JF-Expert Member

  #1
  Jun 26, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 529
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wandugu JF hali ni mbaya sana katika hospital ya kcmc kutokana na mgomo wa madaktari tangu juzi. Jana nilipeleka mgonjwa wangu akitokea hospital ya mkoa wa mawenzi akiwa na hali mbaya tena akiwa katika ambulance ya hospitali ya mkoa tulipofika tulirudishiwa mapokezi kwa kuambiwa hamna huduma kwani madaktari wamegoma.
  Leo nimeamkia hapa ili kujaribu kuona kama wamepunguza makali ya mgomo lakini ninaona hali ni ileile.
   
 2. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #2
  Jun 26, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 199
  Trophy Points: 160
  pole kwa mgonjwa wako mkuu,hayo yote na matunda ya serikali DHAIFU ya jk...madaktari tupo nyuma yenu onyesheni msimamo wenu...
   
 3. P

  Prezoo Member

  #3
  Jun 26, 2012
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 4. 1

  19don JF-Expert Member

  #4
  Jun 26, 2012
  Joined: May 13, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  pole mdau tumuombee mgonjwa apate nafuu
   
 5. j

  jigoku JF-Expert Member

  #5
  Jun 26, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,347
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Hayo ni matunda ya CCM chama cha magamba,nakupa pole sana kwa mgonjwa wako.ila hii ni fundisho pia kwa wananchi katika kutimiza wajibu wetu na hasa kipindi cha uchaguzi ambao ndio msingi wa kupata serikali bora na imara au dhaifu na inayokumbatia ufisadi.
  Leo hii tunashuhudia taarifa za vigogo kuficha zaidi bil 300 huko uswiss,je hizi ndio zilizogundulika je zile ambazo hazijagundulika ni ngapi?je uozo huu kama uko mpaka ngazi ya chini kwenye kata je tungelikuwa na serikali imara sio dhaifu tusingeweza kuboresha huduma za afya,kununua vifaa tiba vya kutosha,kununua dawa za kutosha,na mwisho kuboresha mishahara na posho za madaktari wetu?
  Rai yangu kwa madaktari naomba msilegeze kamba,japo hata mimi naweza ugua au mwanangu au yeyote wa karibu.lakini ukweli unabaki palepale ya kwamba tumechoka na serikali ya kifisadi inayonyima haki za watu na huku ikiwataka wafanye kazi na walipwe kinyume na ukubwa wa kazi na taaluma zao,serikali ambayo inawakandamiza wananchi huku ikiwahimiza walipe kodi kwa maendeleo ya taifa ,kumbe ni kwa maendeleo yao na familia zao na mahawara zao.
  No way,enough is enough na hii ni very muhimu watanzania tulielewe.
   
Loading...