Kumbemenda mtoto kukoje?

Chuck j

JF-Expert Member
Jun 17, 2011
2,358
815
Nasikia wanasema mtoto kabemendwa,ni kupi?je ukifanya mapenzi na mkeo ukiwa mtoto mdogo ndo anabemendeka?
 
Hapana. Inadaiwa ni pale mke anapotembea nje ya ndoa na hivyo kuchafua sheli ya mtoto.
 
Mke au mume anapocheza mechi za ugenini ilhali wana mtoto mdogo inapelekea mtoto kunyongonyea na kudhoofu,matokeo yake mtoto anakuwa nyuma kiukuaji tofauti na umri wake,unaweza kukuta mtoto anapiga story balaa lakini kutembea nope!
 
inatokea pale ambapo mama anacheza nechi na baba asie baba halisi wa mtt so kama mkeo ana mtt na sio wa kwako pengine alipewa mimba na mtu mwingine basi vile vile waweza kumbemenda mtt pia maaana sio damu yako.
 
acha kuandika ki facebook bana aaaaah !!
 
Maana yake ni mtoto kukua kwa taabu kutokana na mama kubeba mimba nyingine kabla ya mtoto hajafikisha umri wa kuacha kunyonya.
Maziwa ya mama hukata wakati mtoto bado anahitaji maziwa ya mama.
 
me niliwahi kumuuliza daktari mmoja akaniambia hakuna kitu kama hicho cha kumbemenda mtoto...na akanipa facts lakini nimesahau ngoja waje madaktari watuelezee...
 
Back
Top Bottom