Ze Comedi Mnatumiwa vibaya na serikali juu ya Madaktari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ze Comedi Mnatumiwa vibaya na serikali juu ya Madaktari

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Return Of Undertaker, Jun 30, 2012.

 1. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #1
  Jun 30, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 2,376
  Likes Received: 8,524
  Trophy Points: 280
  Ze Orijinal comed ya kina Masanja na wenzake naona wiki hii wamekomalia na mgomo wa madktari na wanajaribu kuwa upande wa serikali na kujaribu kusema kuwa siri ya mgomo na kutaja wanataka nini katika mgomo na wamepanga kufanya nini kutimiza adhima yao.

  Bila kujua kila mtu ni mgonjwa na marehemu mtarajiwa tusipende kutukana mamba kabla ya kuvuka mto
   
 2. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #2
  Jun 30, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,827
  Trophy Points: 280
  Ndugu yangu umesema kweli, unategemea nini kutoka kwa hawa wajinga!! si vibaraka wa TBC1. Wasijikombe wale wapi, polisi?
   
 3. Mshuza2

  Mshuza2 JF-Expert Member

  #3
  Jun 30, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 4,115
  Likes Received: 1,745
  Trophy Points: 280
  Hivi bado wapo?
   
 4. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #4
  Jun 30, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,118
  Trophy Points: 280
  Ndo wasanii wa Tanzania, Njaa ni kitu kimoja kibaya sana,
   
 5. Gwangambo

  Gwangambo JF-Expert Member

  #5
  Jun 30, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 3,655
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Njaa kali sana, chezea njaa wewe, unaweza liwa ............. EXPRESS YOURSELF!
   
 6. Gele vaheke

  Gele vaheke Senior Member

  #6
  Jun 30, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu huu ndio mwisho wao
   
 7. CHEMPO

  CHEMPO JF-Expert Member

  #7
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 369
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Shule ndogo wamishia kuchekesha
   
 8. S

  SAGANKA JF-Expert Member

  #8
  Jun 30, 2012
  Joined: Jun 9, 2012
  Messages: 313
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ndicho kilichowatoa channel 5,eti?
   
 9. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #9
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Ze Comedy inaoneshwa na TBCCM unategemea nini hapo? Kuna kipindi cha Maana TBC?
   
 10. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #10
  Jun 30, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Naskia kuna mmoja wao(ze comedy) alifanyiwa kitu mbaya kwa sababu za kukuza na kupotosha mambo kama wanavyofanya sasa.
   
 11. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #11
  Jun 30, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  awa maboya nilikuwa nawapenda sana waivyo kuwa channel 5 ila tokea waamie kwa wajinga tbc hawajui wanachokifanya kwanza siwezi poteza muda wangu kuangalia tbc
   
 12. M

  Mendelian Inheritanc Member

  #12
  Jun 30, 2012
  Joined: Dec 25, 2011
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dhiki ukiiendekeza hakyanani itakuharibu, waache wafanye sanaa ya uccm zen wapigwe kama kipindi kile joti pale posta hadi akagongwa na gari waje hospitali tuwachome sindano za ng'ombe washike adabu.badala ya kuwa wabunifu wa sanaa yao wanatumia makalio kuigiza ili wapate mlo. Shame on u.
   
 13. Umslpogaaz

  Umslpogaaz Member

  #13
  Jun 30, 2012
  Joined: Apr 14, 2008
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Labda na wao wanategemea kupelekwa India wakiugua!
   
 14. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #14
  Jun 30, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  njaa haina adabu!...ccm,tbc,orginal komed vinakufa kwa pamoja
   
 15. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #15
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,797
  Likes Received: 36,826
  Trophy Points: 280
  Futuhi ndo kila kitu now, original comedy hawana mvuto kama wale vuvuzela ya clouds tv

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 16. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #16
  Jun 30, 2012
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hii ni nchi huru na ya kidemokrasia ambayo kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni. Waachwe ze Komedi waonyeshe wazi w.a.s.h.e.n.z.i hawa waliosomeshwa kwa hela za walipa kodi na ambao le wanawaacha walipa kodi hao hao wafe kwa tamaa zao na ufinyu wa fikra wa kudhani kwamba ni wao tu ndiyo wenye haki. Wanasahau kwamba wanakiuka haki ya binadamu kuishi.
   
 17. M

  Mendelian Inheritanc Member

  #17
  Jun 30, 2012
  Joined: Dec 25, 2011
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  WASIO NA ELIMU SIKU ZOTE NI CHAKULA YA WASOMI. ZE COMEDY NI CHAKULA WACHA ILIWE.

  "Mtu anaweza kuzini kwa siri lakini hawezi kuugua ukimwi kwa siri"
   
 18. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #18
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
   
 19. K

  KIRUA Senior Member

  #19
  Jun 30, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 128
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Alafu vijana masikini kama hao...wajifunze kwa mwenzao waliompeleka India kwakuombaomba msaada,lakini hivyo vifaa na matibabu yake yangekua yamewenzeswa na serekalia wasingekua ombaomba wafedha za matibabu bali wange tibiwa hapa Tz......
  "mtaenda siku moja muhimbili masanja badala kupewa matibabu una chomwa shindano ya sumu ufe...'angalia sana
   
 20. m

  mkupuo JF-Expert Member

  #20
  Jun 30, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Heri mimi sijawatizama hao the original comedy!
   
Loading...