airtel kulikoni mnatuumiza wateja wenu

COURTESY

JF-Expert Member
Jun 16, 2011
2,006
706
nimeweka dola 2,then after few minutes nakuta wamelamba 480,sijapiga simu yeyote,wala sijatuma msg yeyote,sijajiunga na huduma yeyote!na ni mara kwa mara wanafanya hivi!kwanini kampuni inakuwa inatuchezea rafu kiasi hiki,this totally unfair
 
timba ofisini kwa kuwaonesha msisitizo maana ukipiga simu utaambulia matangazo ya free internet
 
timba ofisini kwa kuwaonesha msisitizo maana ukipiga simu utaambulia matangazo ya free internet

khaaa nani akaongee na customer care wao wa SPANCO,bora nitulize bori tu,wakinikata tena namuibukia CEO wao akanieleze vzur
 
Back
Top Bottom