msaada: Wenyeviti wa vikao vya bunge wanapatikanaje?

Mkurabitambo

JF-Expert Member
Feb 3, 2010
230
57
matatizo mengi sana hutokea pindi bunge linapokuwa chini ya wenyeviti,tuliona kwa Zungu,jana tumeona kwa (simjui jina lake) .....je kunasifa gani kumpata mwenyekiti wa bunge?
 
hao ni magamba hupeana kama zawadi sifa kubwa ni uwe kada wa ccm ujue kutetea upuuzi na udhaifu wa ccm.
 
Huwa wenyeviti wa bunge sifa kubwa ni kutetea ccm kwani kura ni nyingi kutoka ccm.Na ndio wanataka ili ,mradi awe chizi tu wa kuzuia hoja muhimu kutoka upinzani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom