Tatizo kubwa la upatikanaji wa maji mlandizi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tatizo kubwa la upatikanaji wa maji mlandizi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by dedam, Jul 1, 2012.

 1. dedam

  dedam JF-Expert Member

  #1
  Jul 1, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 846
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  wakazi wa mji wa mlandizi wako kwenye mateso makubwa ya kukosa maji kwa muda mrefu sasa takriban mwezi sasa tangu aliyekuwa meneja wa dawasco hapa mlandizi atoroke na familia yake kukimbia tuhuma za ufisadi. inaonekana mamlaka za juu wamekosa kumpata meneja mwingine mwenye sifa na uwezo kama huyu aliyetoroka hali inaonesha kuwa huyu anayekaimu hana uwezo kabisa wa kuzalisha maji licha ya kukosekana maji muda mrefu wahusika hawajatoa tangazo lolote la kueleza sababu za kushindwa kusambaza maji katika mji wa mlandizi zaidi ya matangazo ya kuhimiza wananchi wakalipie bili kwa maji yasiyo toka.sisi wakazi wa mlandizi ndiyo walezi wa mitambo hii inayozalisha maji kwenda dar kwa waheshimiwa kila siku tunaona mitambo ikiwashwa lakini maji hayatoki hapa nyumbani yanapopikwa. tunaomba wahusika watupatie maji kwa sababu yapo na kama hakuna mtu mwenye sifa na uwezo kama meneja aliyetoroka basi jitihada zifanyike kuwaomba majirani zetu kenya na uganda watusaidie huyu mtaalamu mmoja tu kuziba pengo hilo.
   
 2. kelvito

  kelvito JF-Expert Member

  #2
  Jul 1, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Duu vyuo vyoote hv vya maji tunahitaji kukopa watumishi? Ma hr mnamatatizo kweli!
   
 3. dedam

  dedam JF-Expert Member

  #3
  Jul 1, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 846
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  hawa waliopo ni wakuchakachua
   
 4. dedam

  dedam JF-Expert Member

  #4
  Jul 2, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 846
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  imegundulika kuwa watendaji wa dawasco mtambo wa ruvu juu mlandizi wanafanya mgao wa maji eneo la mlandizi ili kupunguza matumizi makubwa ya dawa ya kutibu maji ili waweze kuchakachua kwa urahisi.
   
 5. dedam

  dedam JF-Expert Member

  #5
  Jul 2, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 846
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  mwaka huu tulishuhudia mvua nyingi za masika ambazo silisababisha hata maafa ya mafuriko hapa nchini. Kwa maana hiyo hata bwawa la mtera nalo lilifurika na hivyo kutoa dhana au sababu kuwa upungufu mkubwa wa maji mlandizi unaletwa na ukame wahusika watupe jibu la kuridhisha. Na isiwe sababu ya kutopatikana meneja mwingine mwenye uwezo kama yule aliyetoroka.sisi tunaamini wapo watanzania wengi wenye sifa za kuziba pengo la yule aliyekimbia. Na pia tunaamini kuwa maji yapo ya kutosha . Ni mimi mwananchi mwenye uchungu.
   
 6. m

  mob JF-Expert Member

  #6
  Jul 2, 2012
  Joined: Dec 4, 2009
  Messages: 2,027
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  nahuzunikaga sana ukitoka mwaka about ten kilometa hakuna maji ,the same kwa watu wa wami the same kwa watu wa mlandizi kibaha.but the same time wamisri about more than 10000 wanakunywa maji ya mto nile vizuri bila shaka.tunachokosa ni political will ya tuliowapa dhamana yetu
   
 7. dedam

  dedam JF-Expert Member

  #7
  Jul 2, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 846
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  mkuu tufanyeje ili tuweze kutatua tatizo! nafikiri watendaji wetu wanatufanyia ufisadi kwa makusudi.
   
 8. dedam

  dedam JF-Expert Member

  #8
  Jul 3, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 846
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  TULIWAOMBA WAHUSIKA DAWASCO WATUPE JIBU KWA NINI SISI WAKAZI WA MLANDIZI TUNA SHIDA YA KUBWA YA KUKOSA MAJI KWA MUDA MREFU WAKATI TUPO JIKONI NA TUNAONA MITAMBO INAFANYA KAZI KILA SIKU BILA MATATIZO. wahusika sasa wametoa jibu kiaina kwa sababu hivi sasa mlandizi mabomba yote yamefurika maji mfululizo kwa siku nne hadi mabomba yanapasuka ovyo hali inajidhirisha wazi kuwa shida ya maji ilikuwa ni bandia yenye harufu ya ufisadi. kuna taarifa za uhakika toka ndani ya dawasco kwenyewe kuwa wanapunguza uzalishaji wa maji kwa baadhi ya maeneo yasiokuwa sensitive kama mlandizi. ankara za matumizi huonyesha matumizi makubwa au ya kawaida ya dawa za kusafishia maji wakati hakuna madawa yaliyotumika kwa sababu hakuna maji yaliyozalishwa. viongozi wa mtamboni na wale wa makao makuu ni wa mtandao mmoja ndio maana hakuna hatua zozote zinazochukuliwa pindi malalamiko yanapotokea.
   
 9. dedam

  dedam JF-Expert Member

  #9
  Jul 3, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 846
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  TULIWAOMBA WAHUSIKA DAWASCO WATUPE JIBU KWA NINI SISI WAKAZI WA MLANDIZI TUNA SHIDA YA KUBWA YA KUKOSA MAJI KWA MUDA MREFU WAKATI TUPO JIKONI NA TUNAONA MITAMBO INAFANYA KAZI KILA SIKU BILA MATATIZO. wahusika sasa wametoa jibu kiaina kwa sababu hivi sasa mlandizi mabomba yote yamefurika maji mfululizo kwa siku nne hadi mabomba yanapasuka ovyo hali inajidhirisha wazi kuwa shida ya maji ilikuwa ni bandia yenye harufu ya ufisadi. kuna taarifa za uhakika toka ndani ya dawasco kwenyewe kuwa wanapunguza uzalishaji wa maji kwa baadhi ya maeneo yasiokuwa sensitive kama mlandizi. ankara za matumizi huonyesha matumizi makubwa au ya kawaida ya dawa za kusafishia maji wakati hakuna madawa yaliyotumika kwa sababu hakuna maji yaliyozalishwa. viongozi wa mtamboni na wale wa makao makuu ni wa mtandao mmoja ndio maana hakuna hatua zozote zinazochukuliwa pindi malalamiko yanapotokea.
   
 10. K

  Kiumbo JF-Expert Member

  #10
  Jul 3, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 561
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Dedam hao ndio wakina eng. kasiga na mafisadi wengine. Hizo taarifa za uchakachuaji wa dawa yaani chlorine pale dawasco mlandizi ni mkubwa na ufyatuaji wa mitambo ya kusukuma maji ili wapate hela za kununua fake. Na huyo mkurugenzi alikimbia lini? Na je kukimbia kwake na ukosefu wa maji mlandizi kuna uhusiano gani. Inatia hasira sana. Wafanyakazi wa dawasco mlandizi ni matapeli wengi. Je kipi kifanyike maana wanauza maji pale dawasco kwa wananchi. Mbunge ndio yule drug dealer hana msaada. Nguvu ya umma inaitajika na wahusika kujulika kwa majina na kuwarusha hewani km humu.
   
 11. dedam

  dedam JF-Expert Member

  #11
  Jul 3, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 846
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  kiumbo meneja alitoroka kwa tuhuma za ufisadi zinazomkabili yeye na wenzie kuna wengine wamesimamishwa kazi mpaka leo maana walikuwa wanashindana kununua magari kama njugu.
   
Loading...