Pongezi Mh.Mnyaa kwa Swali hili Bungeni Leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pongezi Mh.Mnyaa kwa Swali hili Bungeni Leo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mathias Byabato, Jul 3, 2012.

 1. Mathias Byabato

  Mathias Byabato Verified User

  #1
  Jul 3, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 905
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Swali la mh mnyaa kwa wizara ya habari ilikuwa ni kutaka kujua kama serikali inacho chombo kinachoratibu mijadala na hoja zinazotolewa na vyombo vya habari nchini na kutaka serikali kuwasilisha bungeni ikionesha utekelezaji wa hoja za wananchi kupitia vyombo vya habari.

  licha ya kuwa waziri amejibu kwa ujumla bila kutoa majibu muafaka lakini nimefurahi sana kuona wabunge wanaanza kutambua na kuthamini michango ya kitaalm na maoni yanayoendeshwa na vyombo mbalimbali vya habari huku serikali kutofanyia kazi hoja hizo.

  shukrani sana mh mnyaa

  Byabato
   
 2. qq.com

  qq.com JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2012
  Joined: Jan 9, 2012
  Messages: 370
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kwa serikali ya sasa sijui
  DHAIFUUUUUUUUUUUUUUUUUU
   
Loading...