Watanzania wachagua kufa

Mwanaharakatihuru

JF-Expert Member
Mar 21, 2012
477
120
Mgomo unaendelea na raia kukaa kimya ni uthibitisho watanzania wamechagua kufa kwa kukosa umoja na mshikamano. Kila mtu anakufa na lakwe
 
Unataka sisi makabwela tufanyeje, ingawa hakika natamani niwatupie mawe hawa wanaogoma.
 
mgomo unaendelea na raia kukaa kimya ni uthibitisho watanzania wamechagua kufa kwa kukosa umoja na mshikamano. Kila mtu anakufa na lakwe
wewe mbona unaandika vitu ambavyo havina maana watanzania wafanye nini sasa wakati madaktari waliosomeshwa kwa kodi zao wanaonyesha ubinafsi na wanasiasa wanaingilia mambo haya so mtanzania anazidi kuteseka na wanasiasa nao wanazidi kuchafua mambo haya
hebu watanzania tuwe makini tuweke siasa pembeni tuongee facts ili hawa madaktari waache ubinafsi wao.
Ila pamoja imeandikwawa kuwa usihukumu usije ukahukumiwa mimi nasema hivi roho za watu wanaokufa sasa kutokana na mgomo huu zitakuja kuwalilia watu wasomi ambao wanatumia nafasi hii kuwaua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom