Bodi ya wadhamini muhimbili ni kina nani?

JOYCE PAUL

JF-Expert Member
Jan 8, 2010
1,005
82
Jamani wana jamvi naomba kwa wale mnaojua mnijuze bodi ya wadhamini hospitali ni akina nani na wamewekwa na nani?na je ni madokta au?kwa majina yao tafadhari mtu anayeijua hiyo bodi na tuchambue cv zao...
 
rais na waziri ndo wanaowachagua na zaid wanapeana kiushikaji tu,
 
mara ya mwisho katika kumbukumbu zangu mwenyekiti wa bodi alikuwa Abrahaman kinana
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom